Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,777
Tukubaliane kuwa kuna mambo yamebadilika sana:
-Waoaji kwa dhana ya wanaume wanaoweza kuishi na mke na kuvaa jukumu haswa la u baba wako wachache.
-Wasichana wenye vigezo vya kua "mama wa familia"
wako wachache.
-Kutokana na globalisation wengi tunaishi maisha ya "tamthilia" tukiiga kila jambo hasa dhana nzima ya kuoa au kuolewa na kuwajibika na familia yako kwenye umri husika.
Kwa maana rahisi tu-kuoa au kuolewa imepungua kutoka kwenye mambo ya msingi na kua option, pia kutokana na mambo ya haki za binadamu na uhuru binafsi unaochagizwa na maisha ya kimagharibi issue ya kuoa au kuolewa inaonekana si lolote ...vitu kama ushoga u lesbian vinaonekana kama haki za msingi tu
.....ila sisi kama wabantu tuna tamaduni zetu na heshima ya kuoa au kuolewa iko palepale hata kama UNAJITOA UFAHAMU!
Muda utaongea!
-Waoaji kwa dhana ya wanaume wanaoweza kuishi na mke na kuvaa jukumu haswa la u baba wako wachache.
-Wasichana wenye vigezo vya kua "mama wa familia"
wako wachache.
-Kutokana na globalisation wengi tunaishi maisha ya "tamthilia" tukiiga kila jambo hasa dhana nzima ya kuoa au kuolewa na kuwajibika na familia yako kwenye umri husika.
Kwa maana rahisi tu-kuoa au kuolewa imepungua kutoka kwenye mambo ya msingi na kua option, pia kutokana na mambo ya haki za binadamu na uhuru binafsi unaochagizwa na maisha ya kimagharibi issue ya kuoa au kuolewa inaonekana si lolote ...vitu kama ushoga u lesbian vinaonekana kama haki za msingi tu
.....ila sisi kama wabantu tuna tamaduni zetu na heshima ya kuoa au kuolewa iko palepale hata kama UNAJITOA UFAHAMU!Muda utaongea!