Mapenzi wamekwisha sasaTatizo hili ni jukwaa husika la mambo uliyoyataja mkuu huku ni full mapenzi mada za kutunga beti na nn twende entertainment
Haram kwako halali kwa mwenzioMapenzi wamekwisha sasa
Watu wanakula visivyoliwa
Bora tujiburudishe na jambo jingine madam s
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa ukijua uvivu hauna mwenyeweKajinyee kwa kwenda mbele, ndiyo shahiri langu la leo.
Shairi bora dunianiHaram kwako halali kwa mwenzio
Kitu kingine kama kipi
Kakosea jukwaa.Tatizo hili ni jukwaa husika la mambo uliyoyataja mkuu huku ni full mapenzi mada za kutunga beti na nn twende entertainment
Ili ni jukwa la mapenzi, mahusiano na ndoa mtu ukiona unataka ubadili mwelekeo unajiondoa mwenyewe na kwenda jukwa linginr JF ina majukwa kibao mf biashara,kilimo ,siasa.kama unaona hili jukwa halifai wasiliana na mmiliki wa jfHabari zenu
Naelekea kwenye mada husika
Karibu mwezi sasa naona mada hi hizohizo za kuliwa jicho, Kutembea na Wake za watu, Kufinyiwa kwa Ndani, Kumgegeda beki 3, Mke wa Jirani ataka nimgegede nk
Sasa leo ninaomba wana jf tubadili mwelekeo tuachane na masuala ya mapapuchi. Leo tuanze na kitu kipya kabisa. Tutunge mashairi angalau beti moja. Wandugu nimekuja kuwaomba kubadili. Tubadili mwelekeo tuachane yaliyopita. Angalau kubadili mwelekeo kutungia
Nawasilisha hoja hoja yangu binafsi
Haya wadau tubadilikeni tusiangalie kugegeda tu tulete vitu tofauti tofauti ili tuweze kujifunza mengi
Nawasilisha aliye mtunzi na aje
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kubadili mwelekeo ni kutoka kwenye ngono kila uzi ni mgegedo tuIli ni jukwa la mapenzi, mahusiano na ndoa mtu ukiona unataka ubadili mwelekeo unajiondoa mwenyewe na kwenda jukwa linginr JF ina majukwa kibao mf biashara,kilimo ,siasa.kama unaona hili jukwa halifai wasiliana na mmiliki wa jf
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah yani nianze kutunga shairi humu aaah wapi...tunga tu ila lihus mahusiano mapenzi urafikiHabari zenu
Naelekea kwenye mada husika
Karibu mwezi sasa naona mada hi hizohizo za kuliwa jicho, Kutembea na Wake za watu, Kufinyiwa kwa Ndani, Kumgegeda beki 3, Mke wa Jirani ataka nimgegede nk
Sasa leo ninaomba wana jf tubadili mwelekeo tuachane na masuala ya mapapuchi. Leo tuanze na kitu kipya kabisa. Tutunge mashairi angalau beti moja. Wandugu nimekuja kuwaomba kubadili. Tubadili mwelekeo tuachane yaliyopita. Angalau kubadili mwelekeo kutungia
Nawasilisha hoja hoja yangu binafsi
Haya wadau tubadilikeni tusiangalie kugegeda tu tulete vitu tofauti tofauti ili tuweze kujifunza mengi
Nawasilisha aliye mtunzi na aje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama sio shairi waweza kuandika methali au kuadithia tamthilia kuepuka ngonohahah yani nianze kutunga shairi humu aaah wapi...tunga tu ila lihus mahusiano mapenzi urafiki