Tuanze na wabunge!

Tuanze na wabunge!

ngulyabhule

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
302
Reaction score
619
Kuna mahali nadhani tunaparuka! Kwa mamna ya kauli za baadhi ya wabunge jana inaonesha dhahili kuwa hawako upande wa wananchi zaidi ya kuwaza matumbo yao!

Nadhani hawa tunawamudu kiurahisi mnoo majimboni kwanini tusianzishe mchakato majimboni kwa namna yoyote ile ili mradi tu na wao waipate hasira yetu!

Hawa tunawasahu ila wengi wao pia walipita kwa hujuma na ndiyo hawa tutegemee walete ushawishi wa kutetea taifa?!

Hapana, bunge lenye wabunge wa hovyo husababisha taifa la hovyoo!

Wasalaam
 
Mimi nawashauri muanze na policcm! Wako mtaani kwenu mnachukua mmoja mmoja! Kila mahali akijichanganya tu na raia huyo halali yenu!
 
Napendekeza tuanzishe chama cha umoja wa vijana ambacho kitakuwa hakifungamani na chama chochote cha siasa kiwe na lengo la kuwapambania vijana na hicho chama viongozi wawe wanadumu kwa miaka 3 akifanya vizuri tunamuongeza 3 na kwenye maridhiano kama vijana tulioumia zaidi hatutaki kuwakirishwa na chama chochote cha siasa tutataka kuona serikali ya umoja wa vijana inahusika
 
Back
Top Bottom