Tuanze moja: Tuachie wafungwa wote walio magerezani na walio rumande bila masharti

Hiki kinachofanyika sasa kisije kuleta picha Tanzania now all is well, hawa wakubwa wataanza kutupiga vizuri tusipokuwa makini, vyema waachiwe kama hawana hatia.

Lakini uwepo msisitizo wa kutii na kufuata sheria, vinginevyo tutarudi kule kwa zamani jela zitabakia kwa wezi wa kuku na simu tu, wakubwa watalindana kesi zao zitaishia juu kwa juu, hapa umakini unahitajika.
Mkuu hujaelewa sarcastic language ya Nyani? Huyu ni mtetea legacy ya marehemu (tumepigwa marufuku kutamka neno ‘mwendazake!’) anachofanya hapa ni kupinga maamuzi ya Mazaa! Ni njia nyingine ya kuombolezea hali iliyo mpata kwa kufiwa!
 
Mimi mtu akianza kuniambia habari za uteuzi ni kama kanichokoza nianze ku lord it over them.

Nawaambia hakuna uteuzi utakaonifaa, hakuna mshahara wa serikali ya Tanzania utakaonifaa. Na mimi siamini katika kutumia nafasi ya kazi kupata rushwa. Na pia siamini katika kufanya kazi ya serikali kama wito wa kizalendo Tanzania.

Nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu nipo tumboni mwa mama yangu.Nimekula ma apple ya Mama Joan Wicken hapo Magogoni. Wakati huo rais ni rais na Ikulu ni Ikulu. Waende kum Google Joan Wicken labda watapata somo la historia.

Sasa leo teuzi za kuteuliwa na kutukanwa, lawama tupu, nani atataka?

Niende kukaa vikao vya groupthink na kulamba viatu Makonda types kwa kisa gani mtu world citizen na roll na Wall Street crowd?

Mazee nipate teuzi serikali ya Bongo, halafu kwenda likizo yangu mwenyewe Turks and Caicos mpaka niombe kibali? Nani anataka ujinga huo?

Hizi teuzi zinaweza kuonekana deal kwa watu hohehahe au wapumbavu.

Sisi ambao tumeanza kutembea corridor za Ikulu tangu matumboni mwa mama zetu hizi teuzi ndizo tulizozikimbia Tanzania.

Unaweza kupewa uteuzi ukabweteka kuandikwa magazetini, kumbe una limit potential yako kwenye world stage.

Nani anataka ujinga huo?

Hawa watu ambao ukoo mzima hawajapata presidential appointmemnt ndiyo wana matatizo, sisi wengine washua wamepata appointments tangu enzi za Nyerere na Mwinyi huko, bado tushangalie teuzi mpaka leo?

Tumejiongeza world cities tunakula maisha kimataifa, wabaki na teuzi zao za kuchunga paka kivyao.
Eh unajishauuu Kirangaa
Tutajutaa kukufahamu mbona hehe
 
Nina wazo.

Wazo linaloendana na uwezo wa kiakili wa mbeba maboksi.

Ni hivi: tuanze moja. Tuachie wafungwa wote walio magerezani na walio rumande bila masharti yoyote yale.

Au tufanye hivi: tumuulize kila mfungwa aliye gerezani na aliye rumande kama yupo humo kwa kuonewa na kubambikiwa kesi.

Kila atayesema ‘ndiyo’, tunamwachia huru bila masharti yoyote yale.

Tukifanya hivyo utakuwa ni mwanzo mzuri sana.

Magereza yetu hayapendezi yakiwa yamejaa watu waliobambikiwa makesi.

Naamini 99% ya wafungwa wote walibambikiwa kesi zao.

Achia huru wafungwa wote haraka iwezekanavyo!

NB: Au tufanye hivi. Wafungwa wote waliofungwa kati ya Oktoba 2015 na Machi 2021, wote waachiwe huru haraka iwezekanavyo bila masharti yoyote yale.
Umeeleweka kwa mtu mwenye fikra pana tu , wa kawaida ataichukulia kawaida

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanafikiri kwamba mama anakurupuka kuachia watu

Mafaili yote yapo ikulu na mwenyewe anayaona

Ukweli unajulikana kabisa watu wengi sana wamebambikiwa kesi

Mbona wakina Babu Seya waliachiwa na hamkupiga kelele?

Hatuwezi kujaza magereza kwa kesi fake halafu hatuwezi kuachia wauaji wao waendelee kusota tu.
Hayo mafaili ni ya hao mafisadi tu au hata wale wezi wa kuku?
 
Eh unajishauuu Kirangaa
Tutajutaa kukufahamu mbona hehe
Ujue uzuri wangu maisha yote naweza.

Unaweza kukuta namaliza kujishauu hivyo hapa mpaka ukaniogopa mtoto wa kibalozi, halafu naenda kula ugali wa muhogo kwa nguru wa kuchoma na Wapemba wa Mwananyamala bondeni.

Mwananyamala bondeni unakujua wewe?
 
Hii si mara ya kwanza na msitake kuifanya hoja na kutudanganya wafungwa waliotoka jela kwa msamaha wa Rais wameanza kirudia makosa wakati wa Samia. Acheni upotoshaji nyie Push Gang. Semeni mengine lakini ukweli KWAMBA utawala wa Magufuli ulikuwa utawala dhalimu hata muufunike kwa lami utaibuka tu.
Wewe ni taahira
 
Wewe ngumbaru usiyejua kusoma kwa ufahamu unaelewa hata nimejenga hoja gani hapo?

Yani wewe huwezi kujadili hoja iliyopita kujadii watu, uwezo wako wa kujadili mambo umeishia kujadili watu.

Nimekupa mfano wa rais Samia kwa sababu huo ni mfano wa karibu tu, umetokea juzi, upo katika habari, ni rahisi kuukumbuka.

Unataka nitoe mfano wa rais Nyerere wa mwaka 1964 kutoka gazeti la Ngurumo?

Sijasema hilo ni kosa la Samia, sijasema haijatokea kwa marais wengine.

Kwa nini unakuwa mgumu kuelewa kwamba sijaongelea udhaifu wa rais Samia, naongelea udhaifu wa hoja ya kufungulia wafungwa bila uhakiki wa kina?
Ndio uone sasa aina ya watu tuliona nao hapa jf
 
Ujue uzuri wangu maisha yote naweza.

Unaweza kukuta namaliza kujishauu hivyo hapa mpaka ukaniogopa mtoto wa kibalozi, halafu naenda kula ugali wa muhogo kwa nguru wa kuchoma na Wapemba wa Mwananyamala bondeni.

Mwananyamala bondeni unakujua wewe?
Sikujui besty..hongera kwa hilo.,
 
Back
Top Bottom