Outing siyo lazima umpeleke mahali ambapo ni pa bei hata outing hata mkitoka mkatembea beach nakingine nikuepuka kumpeleka mpenzi wako kwenye vijiwe ulivyo vizoea hata kama ukimpeleka washikaji sikuhiyo unawatema unakuwa na mpenzi then you will see the difference!Kuhusu mwanaume kumpumbaza mwanamke na asiwe na haja ya mwanaume mwingine yeyote, uko sawa 100%. Na outing sio lazma iwe ya double tree/hilton, hata mihogo ya coco beach ni outing tu. It is the thought that counts. Stop pushing the lovely ladies aways!
Asante kaka kiiza
mwanamke ukimwonyesha kumjali kuwa naye karibu mawasiliano ya kila mara na outing za kila jioni basi jua mwanamke hata kama alikuwa na boyfriend atamwacha kiaina ....wanaume tulio wengi tumekuwa tukijikita sana katika mapenzi ya hela/pesa,kukata pochi,kama ndiyo dawa yakumsogeza karibu mwanamke....Mapenzi ni kujaliana mapenzi siyo pesa!! ...
Nikwamba kila kitu hujakuharibika kutokana na wewe ulivyoanza!!!Lakini wewe ndo uko responsible ku handle issue nzima!!really? behaviour ya hawa viumbe siyo ya kupiga mstari kwa rula kiasi hicho... you can do every damn thing kwa ajili yao na bado ukaambulia vituko
Katika vitu ambavyo sisi wanaume huwa tunakosea ni kati ya hivi.....
Sisi wanaume tukiwa na mwanamke amabaye ni mpya katika mahusiano u
wa tunaamini kuwa huyu mwanamke hayuko pekeeyake lazima kuna mwingine hivyo natakiwa kuwa mguu ndani mguu nje!!Lakini kumbe masikini yawezekana ukawa wewe ndo mwenye bahati ukakuta dada hana mtu au mahusiano yake ya hawali yaliharibika kutokana na tabia kama zako wewe uliyemtongoza na yeye hataki chovyachoya anahitaji wakwake wakujidai naye kila mahala!
Pili Sisi huwa hatujui kama sisi ndo wakuwafanya wanawake waridhike wawe nasisi naasiwe na hamu ya mtu mwingine mpaka kufikia kutomtamani mwanamme mwingine na mwanaume mwingine akimtongoza aonekama kero fulani!! mwanamke ukimwonyesha kumjali kuwanaye karibu mawasiliano yakila mara na outing zakila jioni basi jua mwanamke hata kama alikuwa na boyfriend atamwacha kiaina nakukuta mapenzi yote kayahamishia kwako lakini hili wengi wetu tumekuwa hatulijui!!, wanaume tulio wengi tumekuwa tukijikita sana katika mapenzi ya hela/pesa,kukata pochi,kama ndiyo dawa yakumsogeza karibu mwanamke!!wakati unampa pesa yeye anaenda kumpa mapenzi yakweli mwanamume mwingine??wapi faida?Jiulize yule anakuzidi nini mpaka ushindwe wewe?/Mapenzi nikujaliana mapenzi siyo pesa!!Japo wengi wanawake wanathamini mkwanja kuliko pesa lakini bado unayo nafasi yakumbadrisha kutoka kwenye pesa akaja kwenye mapenzi ya kweli!!
nashangaa hii thread ali gonga likes ni mimi tu peke yangu
why?
hamuoni inastahili likes nyiingi?
KakaKiiza maneno yako swadakta!
Mbona mie sikumaind kumnunulia ticket Husninyo
Dar/Chicago/Dar Just kumpigisha mswaki wa macho tu!
Na hivi nampango kumpigisha mswaki mwingine far east soon, ni visa tu ndo ina urasimu.
naomba ugonge nyingine kwa niaba yangu.
kwa niaba yako?
wewe ni nani wangu labda?nikumbushe....
Hawa viumbe ni kama konyagi,ipo siku unaimudu na kuna siku inakutoa nishai........very unpredictable