kadakokigondile
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 1,872
- 635
Mhh bora Koki ila isiwe Dokii maana ntageuka msaniiDuh! Hilo jina as a username hauwezi kulibadili!
Labda tu mtu akikumention alifupishe atakavyo yeye!
Mimi ningelifupisha hivi; 'Dakoki' hahahahahahahaaaa!
Apo vipi?
Mhh bora Koki ila isiwe Dokii maana ntageuka msanii
Duh! Hilo jina as a username hauwezi kulibadili!
Labda tu mtu akikumention alifupishe atakavyo yeye!
Mimi ningelifupisha hivi; 'Dakoki' hahahahahahahaaaa!
Apo vipi?
Dada farkhina,nimefika salama namshukuru Mungu ila simu yangu imeibiwa.Hahahaha chezea Washawasha.....siku akiwa hayupo lazma iwe tofauti....basi mie humsaka kila pembe...lol
Dada farkhina,nimefika salama namshukuru Mungu ila simu yangu imeibiwa.
Nalog off
Dah mkuu hizi nadhani hazipangishwi maana hawajasema....ila mtu ukiamua unaweza jenga angalau ifananie ule maisha
Kama ndiyo hivyo, kumbe wanaosema heri kuzaliwa mnyama Ulaya kuliko binadamu afrika hawakukosea.mkuu zile ni nyumba kwa ajili ya ndege hakuna mtu anayekaa mule.
Nalog off