Tuangalie nyumba nzuri za miti

Khaa!
Sasa hiyo nö 1 na 5 mwenyewe anapandaje?
Nisaidieni jaman!
 
hao watakua wachawi, si bure bnadamu akaishi juu ya mti
 
hawa wanaitwa maskini au nan huko ulaya
 
Kama jina langu gumu unaweza kulikata nusu au labda unashauri vipi?

Duh! Hilo jina as a username hauwezi kulibadili!
Labda tu mtu akikumention alifupishe atakavyo yeye!
Mimi ningelifupisha hivi; 'Dakoki' hahahahahahahaaaa!
Apo vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…