Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Nov 2, 2012 #1 Mashabiki (Wanaosadikika ni wa Azam) walijitokeza kumlaki kocha Stewart Hall Uwanja wa ndege Dar.............tuambizane ukweli, hawa ni Azam kweli au Tumbo Street/Uhacha (uhakika wa chakula a.k.a food security?)
Mashabiki (Wanaosadikika ni wa Azam) walijitokeza kumlaki kocha Stewart Hall Uwanja wa ndege Dar.............tuambizane ukweli, hawa ni Azam kweli au Tumbo Street/Uhacha (uhakika wa chakula a.k.a food security?)
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,645 Nov 2, 2012 #2 Sidhani kama kuna mashabiki wa Azam bongo ni Simba na Yanga tu.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Nov 2, 2012 #3 Mmmh hao ni tafutis tumbo
Riwa Platinum Member Joined Oct 11, 2007 Posts 2,607 Reaction score 3,084 Nov 2, 2012 #4 Mtuachie watoto wa Mbagala 'chama' letu Azam! Bakini na vimeo vyenu Yanga na Simba..
JICHO LA TATU JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 306 Reaction score 49 Nov 2, 2012 #5 Ila huyo kocha nae aliyerudi inaonesha ana njaa kichizi, hata six month bado tangu atimuliwe lkn amerudi
Ila huyo kocha nae aliyerudi inaonesha ana njaa kichizi, hata six month bado tangu atimuliwe lkn amerudi
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Nov 2, 2012 Thread starter #6 hilo amekiri waziwazi, miezi minne wachezaji wa Sofa la Paka hawajalipwa mishahara JICHO LA TATU said: Ila huyo kocha nae aliyerudi inaonesha ana njaa kichizi, hata six month bado tangu atimuliwe lkn amerudi Click to expand...
hilo amekiri waziwazi, miezi minne wachezaji wa Sofa la Paka hawajalipwa mishahara JICHO LA TATU said: Ila huyo kocha nae aliyerudi inaonesha ana njaa kichizi, hata six month bado tangu atimuliwe lkn amerudi Click to expand...
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Nov 2, 2012 Thread starter #7 Tumbo streety
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 Nov 2, 2012 #8 Hata rangi za pamba zao hazieleweki.........ila naona YANGA watakuwa wengi hapo.....huko ndio kwenye njaa ya ukweli
Hata rangi za pamba zao hazieleweki.........ila naona YANGA watakuwa wengi hapo.....huko ndio kwenye njaa ya ukweli