Usihofu my wii, tulia kwa mumeo Kaizer ule mvinyo uliochachushwa na raha zingine...huko kwa kina Mr Rocky na The secretary ziba masikio km hujasikia chochote.
Heheh
Kana tu kwa vile huwa hatukuoni!!
Bishanga namjua si ndo mumewe na The secretary ambaye yupo bize kutaka kuharibu nyumba yangu?
Heee
Mara hii umesahau mausia ya kwenye kitchen pati;
...........Kidumu..........
Ggggggggggrrrrrrrrrhhhhh nina kiu ya dam ya mtu, The secretary umenionea wapi DEMBA? Dam yake tam anaelekea.
kweli kabisa my wii wacha nizibe masikio yangu na pamba.
Umeoa wewe?
Nioe mara ngapi?
teh teh . . . nimeghairi hata nilivyotaka kukuuliza!
Bora patna...utaniuliza siku nyingineeee
ngoja nikamsikilize best, si unajua tene jungu kuu..............Mambo mpenzi.
Babu anakuita MJENGONI
ngoja nikamsikilize best, si unajua tene jungu kuu..............
Kabisa..Umeona eeh....wazee ni hazina.