Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 718
- 1,204
Mkuu uko vizuri ipo siku bahati itakuangukia...ila ushauri mwaka huu upige degree Mungu atakujahalia upate mkopo wa Magufuli πKulikuwa na nafasi moja ya kuzibua vyoo katika taasisi fulani hivi ikatangazwa mtandaoni, kutokana na shida zilizonizonga nje ya taaluma yangu nikasema potelea mbali ngoja nitose ndoana yangu.
Kuitwa kwenye interview nakuta tupo watu 138 km sijakosea.nikasema haya sasa kigezo ilitakiwa ni form four tu nami nna diploma ingawa wapo waliokuwa na bachelor nao wakajifanya ni form four tu...
Yangu nilifanya na watu wanaitwa Wezesha wazawa microfinance, Hawa jamaa walipigia simu kazi ambayo nishaomba miezi nane ishapita,,, Wakasema Njoo kwa ajiri ya interview ,nafika pale ofisin pao nawaambia niliitwa kwa ajili ya interview wanabaki wananishangaa tuu, Kumbe aliyebipigia simu hata hakutoa taarifa kwa wenzake...
Natamani kuendelea lakini hapo kwenye mkopo ndio shida maana hela zenyewe zinakuwa hazitoshi na bado nina malengo fulani hiviMkuu uko vizuri ipo siku bahati itakuangukia...ila ushauri mwaka huu upige degree Mungu atakujahalia upate mkopo wa Magufuli [emoji122]
Jaribu kusoma hivyo hivyo...nimeona watu wamekosa kazi diploma ila baada ya degree wakapata kazi nzuri,ukali wa maisha ukapungua.Natamani kuendelea lakini hapo kwenye mkopo ndio shida maana hela zenyewe zinakuwa hazitoshi na bado nina malengo fulani hivi
Nachukua ushauri wako ili niutafakari upya.Jaribu kusoma hivyo hivyo...nimeona watu wamekosa kazi diploma ila baada ya degree wakapata kazi nzuri,ukali wa maisha ukapungua.
Kila la kheri ukipata chuo karibu na nyumbani na kozi nzuri mkopo waweza tosha[emoji122][emoji122]
[emoji16]Yangu nilifanya na watu wanaitwa Wezesha wazawa microfinance, Hawa jamaa walipigia simu kazi ambayo nishaomba miezi nane ishapita,,, Wakasema Njoo kwa ajiri ya interview ,nafika pale ofisin pao nawaambia niliitwa kwa ajili ya interview wanabaki wananishangaa tuu, Kumbe aliyebipigia simu hata hakutoa taarifa kwa wenzake.
Nilikaa pale Kama saa moja hivi ,nikawafata nikawambia Kama hamna interview naombeni mnirudishie gharama zangu za usumbufu, niliwapelekesha hawatakuja sahau , baadaye Wakasema tutafanya mida ya saa nane nikawambia sawa,, nikatoka pale nikaenda kunywa k- vant na safari mbili, mda ulivyofika wa saa nane maana nilikuwa Niko peke yangu tunafika kwenye interview room nikawaambia mie nahitaji hela zangu na mda niliyopoteza.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilivyokuwa nimechange walitoa nauli wajinga wale.
hahaha Pole mkuu ndo ilikuwa interview yako ya kwanza nini?.....kitu nilichojifunza kwenye interview yoyote inabidi ujiamini na uwe na taarifa za kutosha bila hivyo utapanick......maana watu wote kwenye interview wanakuwaga na panicking ya ajabu sana ndio maana kuna umuhimu wa presentation vyuoni zile zinasaidia kutengeneza kujiamini na kujielezaMiaka kama 7 iliyopita niliitwa kwenye usaili kwenye International Organization moja yenye ofisi hapa nchini, hawa wako chini ya UN..Tulikuwa watatu kwenye nafasi yetu na walihitajika watu wawili tu. mimi nilikuwa wa mwisho kabisa, kuingia lakini kila mtu aliekuwa anatoka kwenye room ya usaili alikuwa na sura ya upole sana. Ikafika zamu yangu maana ndiye nilikuwa wa mwisho...
Ilikuwa interview ya kwanza kufanyiwa na wazungu halafu wanaongea rafudhi ile ya ndani.Asilimia kubwa ya maswali sikuyaelewa, nikawa napuyanga tu. Walicheka sana wale jamaa nadhani walibaki kusimulianaππhahaha Pole mkuu ndo ilikuwa interview yako ya kwanza nini?.....kitu nilichojifunza kwenye interview yoyote inabidi ujiamini na uwe na taarifa za kutosha bila hivyo utapanick......maana watu wote kwenye interview wanakuwaga na panicking ya ajabu sana ndio maana kuna umuhimu wa presentation vyuoni zile zinasaidia kutengeneza kujiamini na kujieleza
sipati picha mizungu ilivyokua inachekaIlikuwa interview ya kwanza kufanyiwa na wazungu halafu wanaongea rafudhi ile ya ndani.Asilimia kubwa ya maswali sikuyaelewa, nikawa napuyanga tu. Walicheka sana wale jamaa nadhani walibaki kusimulianaππ
Wanalafudhi ngumu sana inahitaji umakini sana kuelewa wanazungumzia nini na wao wenyewe wapunguze speed ya uongeaji.....Ilikuwa interview ya kwanza kufanyiwa na wazungu halafu wanaongea rafudhi ile ya ndani.Asilimia kubwa ya maswali sikuyaelewa, nikawa napuyanga tu. Walicheka sana wale jamaa nadhani walibaki kusimulianaππ
kuna interview nlifanya na clown paints, ilikuwa interview yng ya pili kufanya, nakumbukaga maswali tu majibu waga najaribu kukumbuka mpaka leo lkn wapMiaka kama 7 iliyopita niliitwa kwenye usaili kwenye International Organization moja yenye ofisi hapa nchini, hawa wako chini ya UN..Tulikuwa watatu kwenye nafasi yetu na walihitajika watu wawili tu. mimi nilikuwa wa mwisho kabisa, kuingia lakini kila mtu aliekuwa anatoka kwenye room ya usaili alikuwa na sura ya upole sana. Ikafika zamu yangu maana ndiye nilikuwa wa mwisho...
ππππππYangu nilifanya na watu wanaitwa Wezesha wazawa microfinance, Hawa jamaa walipigia simu kazi ambayo nishaomba miezi nane ishapita,,, Wakasema Njoo kwa ajiri ya interview ,nafika pale ofisin pao nawaambia niliitwa kwa ajili ya interview wanabaki wananishangaa tuu, Kumbe aliyebipigia simu hata hakutoa taarifa kwa wenzake...