Tuachieni Nyerere Wetu



Toa ushahidi siyo unaongea kama kasuku tu.

Mimi siijui hiyo shule ya tabora. Ili nime nimemnukuu ukwelikitugani ambae anasema alisoma hapo. Ila swala la mwinyi kujenga msikiti sito shangaa maana jamaa inasemekana alioa mtoto wa selondari ya jangwani wakati watu wanapiga kele wasichana waende shule.
 

Nikusahihishe kidogo mkuu, Tabora boys inaitwa Tabora school sijajua kuhusu Tabora girls, Hata jiwe la Msingi limeandikwa Tabora school na si Tabora boys. Nimewahi soma tuition hapo enzi hizo nikiwa Kazima sekondari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…