Tuachieni CHADEMA yetu mrudi CCM mkapumzike

"Dk. Slaa tulimkamata akiwa ndani ya gari la matangazo katikati ya spika uwanjani hapo."
 
Kamanda umesema ukweli tatizo la wadanganyika wengi wamezoea kudanganywa, kupata vitu pasikuwa na kuvitolea jasho.. Wamejaa mioyo ya woga, unafiki na tamaa ya umaarufu. So akiona lile analolitaka halitimii ana anza gubu na ghiriba, wengi tumewaona na bado tutazidi kuwaona waliotumwa kuja kuuzima moto huu... Mapambano bado na kote dunian hakuna mapambano yaliyokosa waoga, wanafiki, na ciku zote wanatambulika kwa matunda yao. Aluta continua kamanda
 
Back
Top Bottom