Tuachieni CHADEMA yetu mrudi CCM mkapumzike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuachieni CHADEMA yetu mrudi CCM mkapumzike

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Nov 8, 2011.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Siasa za upinzani siyo kitu rahisi kama ambavyo wengi mnavyofikiria na hasa ktk mfumo huu ambao chama cha siasa(CCM)
  basically kinaendesha mahakama, jeshi la polisi, usalama wa taifa na tume ya uchaguzi. tulioingia upinzani tulikuwa tunajua
  kuwa tutalala jela ili kuuondoa mfumo wa namna hii siyo rahisi na tulikuwa tunajuwa jela itakuwa ndio our second home, hii ni
  historia inajirudia kwani wenzetu libya, misri na Tunisia walipita huku huku tu tena yao ilikuwa ngumu kuliko yetu kwani
  Ghadafi alikuwa na polisi wengi, majeshi mengi na usalama wa taifa na mabilioni ya kumuonga kila mtu nchi nzima ukilinganisha na hii serikali yetu ambayo haina uwezo hata wakulipa wafanyakazi wake mishahara hiyo midogo ya kujikimu.

  wale wote mnaojaribu ku second guess maamuzi ya chama nendeni CCM kama akina Kaburu, Akwilombe,shitambala na wengineo mkavalishwe rasmi jezi za mafisadi yaani kofia ya njano na shati la kijani ili nawe uwe kama wao wakupe na maiki uitangazie dunia kama CCM ni chama safi uwe mnafiki kama wengine wengi walio ndani ya CCM. HATUTAKI SIASA ZA KINAFIKI NDIO MAANA TUKO TAYARI KWENDA JELA KULIKO KUWA MNAFIKI. ushindi ni wetu makamanda unapoona ugumu basi ujue ndio ushindi unakuja hivyo kaza moyo funga buti tusonge mbele kwani WE HAVE NOTHING TO LOSE BUT OUR CHAINS(mikataba michafu tuliovishwa,ufisadi,katiba chafu,na watawala makatili wanaoabudu nguvu ya dola kuendeshea nchi)
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu ccm ni sikio la kufa hawawezi kuyajua yote hayo wanachofiri wataiongoza Tz milele jambo ambalo ni ngumu chini ya hili Jua
   
 3. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kweli mkuu tutastick na chadema mpaka kieleweke
   
 4. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Bora askari mmoja mkakamavu kuliko kumi waoga
   
 5. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Politiki tuko pamoja mkuu umenena,waoga,wenye wasiwasi watupishe,kama jana watu wengine wako hapa hapa Arusha lakini wanaomba update toka uwanja wa NMC.
   
 6. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tena waondoke mapema kabisa!tubaki na chama chetu,
   
 7. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pamoja sana mkuu. Wenye kuhusudu jezi na ufisadi wabaki hukohuko kunako abudiwa ufisadi.
   
 8. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  mimi siondoki n'go. Nikiacha Chadema labda ajiunge Riz 1 na babaye nitaondoka ila kwa sasa patamu sana, na mwanachama wa kweli ni yule aliyeshiriki taabu zote za kutafuta haki hadi ipatikane. Ccm imechoka maana wanaoijua ccm wameshatoweka wamebaki wanafki akina Kingunge
   
 9. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hivi Mwl Nyerere akifufuka akute ccm ina mtu anaitwa riz 1 na mwingine anayepaka maparachichi usoni si atakimbia na kuikana ccm? Jamani Chama watu wote wana sura za kwanini?! Hii inasikitisha sana
   
 10. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kuna ndugu yangu tangu alipoanza kuvaa nguo za kijani na njano,afya yake imekuwa mbaya nasikia zina mkosi,nuksi
   
 11. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mapinduzi njia ngumu, tena ngumu sana! Toka leo alfajiri tumeshuhudia wanaharakati uchwara eti wakitishia kujitoa kwenye hzi harakati.
  Ahsante kwa hii thread mkuu,
  MAPINDUZI NJIA NGUMU SANA ZAIDI YA UKWELI
   
 12. l

  lyimoc Senior Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu kirahisi chini ya jua mabadiliko hayawezi kuja kirahisi ni lazima tugharimike sana sasa ni mbele kwa mbele mpaka ccm ipige chini hakuna kurudi nyuma viva dr Slaa viva CHADEMA ushindi upo
   
 13. n

  nyandaojiloleli JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pamoja sana makamanda ni mbele kwa mbele. Haturudi nyuma mpaka kieleweke.
   
 14. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kweli kazi ipo maana ni kama nchi haina uongozi kwani hawasomi alama za nyakati na hawatumii busara.
   
 15. 2

  21DEC2012 Senior Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli kabisa mkuu.CHADEMA watawekewa vikwazo vya kila aina lakini Magamba watambue kwamba NGUVU YA UMMA haishindwi.

  ''Better is at the end of a thing than its beginning.''

  Pamoja tutashinda.
   
 16. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  100 % naunga mkono hoja, mapambano ya makamanda wetu yanatutia nguvu na ujasiri wa kudhubutu binafsi ujasiri ulioonyeshwa na makamanda Arusha unanipa matumaini sana, naiona CDM iko next level na future nzuri.
   
 17. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Ukweli huu. Tanzania ni de facto one party state. It is legally impossible kwa upinzani kutwaa madaraka kutokana na sheria na practices ziliowekwa na waliomanage transition to "multi party politics" . Mambo mawili ndiyo yatanusuru nchi hii kutoka party dictatorship:

  1. People driven constitutional reform/review process

  2.Orange revolution kama the spring revolution ya Arabuni,
  fuelled by activism.


  Change is inevitable, We are at crossroads which path we as people choose to follow only time will tell.
   
 18. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hivi kumbe chadema nayo ina wenyewe kama ccm?
   
 19. M

  Mwadada Senior Member

  #19
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni wazi hakuna ukombozi unaopatikana kwa kupewa mkononi bila jasho hata damu inapolazimu. Makamanda wa kweli wataonekana wakati huu tunao uanza ambao ni mgumu, wenye kuitaji kujitoa kwa moyo wote, kwani ukombozi ni kujitoa kwa yote. Hapana kukata tamaa ktk kutafuta haki,wakati ndio huu,wakati ni sasa.
   
 20. brightrich

  brightrich Senior Member

  #20
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Anapaka maparachichi usoni na bado kichwa chenyewe ni cha nazi! tena nazi yenyewe ni KOROMA, yaani Wadanganyika tuna kazi kubwa sana, wapo kwa maslahi yao tu! Ila iko siku yote yatapita! Hata Gadhafi alifikia mwisho wake!
   
Loading...