Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 392
Hahaha Mimi ni wa mda sana humu sana ila sio wa KukomentiWewe utakuwa mgeni humu ,humu wewe fanya yako kisha utulie
USSR
Oya wee kenge unakera. Peleka huko hisia zako kwenye vijiwe vyenu vya umbea.Nidhamu ndio mafanikio. Hapa JF tuna watu wakubwa sana, viongozi, expert serikalini na wafanya biashara.
Sasa unapoana Mtu ana express hisia zake kuhusu jambo fulani acha dhahaka na matusi.
Alafu JF ina julikana kama home of great thinkers, kutumia JF mtaani unaheshimika sana.
Sawa fata ushauri mzee
SawUshauri mzuri ila kila mmoja anafanya kile anajisikia
Yaa ni kweliUkichunguza vizuri jf ni mfano wa mitaa ya uswazi
SawMpfyuuuuuuuuuuuuuu zenu
Mbona mimi sina hiyo nidhamu na nina mafanikio?Nidhamu ndio mafanikio.
Kwasababu wewe unaishi kwenye id yako mvunja barafuMbona mimi sina hiyo nidhamu na nina mafanikio?
Au wewe unaongelea nidhamu ipi na mafanikio yapi?
Utakuta viongozi wenyewe anao waongelea ni hawa kina Lucas Mwashambwa na TlaatlaahKwasababu wewe unaishi kwenye id yako mvunja barafu
Unavunja sana mkuu π ππΎ