GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,655
Saund za Forex hizi...
ungeweka detail zote hapa jukwaani, hayo mambo ya PM ni utapeli mtupu,
Changamkia fursa mzee naona unataka kuwa Ontario mwingine
umetumia sanaa kubwa katika uandishi wako ila inavyooneka nia yako sio njema
Mkuu, mi napenda Sana kufanya hizi Mambo tatizo scammers Ni wengi Sana,,, hebu Ni patie hints kidgo ili nishawishike