Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,582
- 30,862
- Thread starter
-
- #41
Hata unachoongea unakijua mwenyewe.Ondoa alama !, hii ni alama ya mshangao ili hoja yako isiwe mshangao, unapoelekezwa kubali makosa na fuata maelekezo, ujuaji mwingi hausaidii.
Hizo chanjo hazina uhakika wa 100%
Ngoja waendelee na majaribio kwanza!
Acha kuukumbatia ujuaji.Hata unachoongea unakijua mwenyewe.
Una kila dalili za covid19!
Subiri tumalize research kutoka nchi jirani
🙏 🙏 🙏 ❣️Ungesema subiri wafe wajinga kwanza ungeeleweka tu mkuu.
Dawa za korona ambazo zimefanyiwa utafiti na kuthibitishwa na mkemia mkuu wa serikali ni BUPIJI, COVIDOL, PLANET++, FUKIZA UDANOL na nyingine nyingi zote kutoka Tanzania. Wewe unazungumzia dawa gani nyingine ya corona iliyopatikana huko mataifa?Hii nchi inavichekesho vingi sana. Hivi ni wapi ilisibitishwa kujifukiza ninjia ya kuondoa korona? Utafiti ulifanyika wapi? Hawezekani tunakuja kukataa dawa zilizofanyiwa utafiti na kuonyesha mafanikio kwa ngojera za kujifukiza?
Anzisha hiyo mada tuichangie.Acha kuukumbatia ujuaji.
Kuna mbunge, tena wa kanda ya ziwa, alijifukiza moaka akala matawi ya majani.
Lakini akadedi.
Tanzania twende kisayansi.
Wagonjwa wacorona mliwatoa wapi ili kufanya utafiti wenu kwenye hizo sawa? Kama wapo mliwapima kwa vipimo vipi kusibitisha ikiwa hamna imani na vipimo vya mabeberu? Lete usibisisho izodawa zinatibu corona kweli?Dawa za korona ambazo zimefanyiwa utafiti na kuthibitishwa na mkemia mkuu wa serikali ni BUPIJI, COVIDOL, PLANET++, FUKIZA UDANOL na nyingine nyingi zote kutoka Tanzania. Wewe unazungumzia dawa gani nyingine ya corona iliyopatikana huko mataifa?
Waswahili kule Zenji wanasema mfamaji hata unyasi utaushika ili kuelea.Tukienda kisayansi hatuta dedi?
Wewe ni mupumbavu sana. Elimu ya mzungu imekufubaza ubongo. Nyie ndiyo watu tegemezi ambao hamtakuja kujitigemea kamwe bila mzungu. Nyie ndiyo virusi katika bala la Afrika.Wagonjwa wacorona mliwatoa wapi ili kufanya utafiti wenu kwenye hizo sawa? Kama wapo mliwapima kwa vipimo vipi kusibitisha ikiwa hamna imani na vipimo vya mabeberu? Lete usibisisho izodawa zinatibu corona kweli?
Hii ya sasa ndio nyepesi kwangu, kwan ilipita km upepo. Nilisikia mafua, nikafukiza kwa mvuke, siku nne mafua yakaisha. So ukisema covid naijua, ila sio ugonjwa hatari km kinga ya mwili ipo vizuri. Situmiagi sanitizers wala masksUlipata ya mwaka jana.
Subiri ile ya masaa!
Hizo chanjo hazina uhakika wa 100%
Ngoja waendelee na majaribio kwanza!
Kuwa mvumilivu, chagamoto ya kupumua iko kona ileee!Hii ya sasa ndio nyepesi kwangu, kwan ilipita km upepo. Nilisikia mafua, nikafukiza kwa mvuke, siku nne mafua yakaisha. So ukisema covid naijua, ila sio ugonjwa hatari km kinga ya mwili ipo vizuri. Situmiagi sanitizers wala masks
View attachment 1716247
Kupata hii kitu na kufa uhakika nap ni wakiwango gani?Hizo chanjo hazina uhakika wa 100%
Ngoja waendelee na majaribio kwanza!