sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,281
- 7,956
Ok ww ndio dampa sawa napafaham kwenu pale kwa mzee naniliuHivi katika masuala ya identity Najiuliza jf kwanini iko hivi je ni wazo la aliye create hii forum au ni watu wenyewe na kama yote ni sawa je kuna ulazima gani wa kufanya hivi.
Au ndo tunadhihirisha kwamba watanzania sisi ni wanafiki kiasi hiki.Sijajua masuala ya identity humu yanachukuliwa vipi.
Lakini nafikiri ni vyema kila mtu akawa tu huru kama mitandao mingine facebook,Twitter nk
Huu unafiki bongo utaisha lini hadi kwenye mitandao.....
Big up kwa ambao wapo real...