Tuache ulimbukeni na mapenzi ya kuji show

Tuache ulimbukeni na mapenzi ya kuji show

Aah watu hawakuwanasa makofi ?? hahaha.....daah aisee mtu ukiwa had unatoa haja ni kheri ulewe ukiwa kwako. Mjini hapa watu wataja kukubeba beba. Tehe
Mkuu hii technology kila mtu yuko na smart phone niliona watu wakiwa busy tu kuwa-record ...
 
Dunia imefikia zaidi ya sodoma na gomora
Kabisa mkuu na wasiwasi wangu mkubwa upo kwa hawa watoto wetu kama hivi sasa dunia imepinda hivi hadi mtoto wangu wa 3yrs aje kuwa mtu mzima ni nin kitakuwa kinaendelea?
 
Ndo maana sio busara sana kwenda na watoto sehemu za starehe...labda kwenye playing centre zao...imagine kuna watu wanakaa na watoto bar mpk saa 5 usiku...mtoto anaona hayo yote....
 
Ah wacheni watu wajienjoy bana...kama demu kakubali kushikwa paja what the problem is jamani.....ndio starehe yake.....if u dnt like it acha wenzio wafurahie papasa mapajaz...je kama kuangaliwa is wat turns them on
 
Kila mtu yopu na style yake vyombo vinapofika mahali yake kuwa wengine watajikojolea wengine wanakuwa wapole kama wewe..Wengine ndiyo anasahau kiswahili yeye anakuwa ni YES, NO...Ila yabidi tuji-control sana maana wale watu walifanya jambo fedheha sana..





Huyo sio mnywaji yani anafanya upuuzi mbele ya public...wakati naweza kupiga safari zangu za kutosha nikawa mkavu sema nikishapiga vyombo nachukia wanawake kabisa
 
Back
Top Bottom