Huo uzungu unaowafanya wafanye mambo ambayo hata wazungu hawayafanyi ninashindwa kuelewa. Zile cinema wanazoona ni kuwa watu wako location tu.Tuendelee kuwa washamba tu best yangu..wacha fasheni itupite...kuvuliwa nguo hadharani hapana
Ha ha ha unakuta kashajikojoza njianitena ukikuta hao wanaojifanya Nyege na uzungu mwingi umewazidi, wakifika gheto, kimoja cha Jogoo ndwiiii, baas mpaka wiki ijyao!!! Mamamae zaooooooo!
Nakumbuka kuna kipindi nilienda Club jamaa wakaanza kucheza style ya Blues kila mziki uliokuwa unapigwa..Iwe ndombolo..Iwe kwaito wao ni mwendo wa Blues tu kidogo wakasogezana kwenye nguzo kwenye dance floor kidogo mama kageuka kwa mbele kidogo...kidogoo...kidogoo..Hee watu kushangaa jamaa anakula mzigo sehemu ya wazi kabisa...So Pombe huwa si chai kila kitu kwa yafaa kuwa na kipimo...Hata wewe ukizidisha Pombe kidogo unaweza fanya kitu leo then kesho ukasema si wewe..
Mmmh basi huyo jamaa kichwa cha panzi kufanya such things in public.Nakumbuka kuna kipindi nilienda Club jamaa wakaanza kucheza style ya Blues kila mziki uliokuwa unapigwa..Iwe ndombolo..Iwe kwaito wao ni mwendo wa Blues tu kidogo wakasogezana kwenye nguzo kwenye dance floor kidogo mama kageuka kwa mbele kidogo...kidogoo...kidogoo..Hee watu kushangaa jamaa anakula mzigo sehemu ya wazi kabisa...So Pombe huwa si chai kila kitu kwa yafaa kuwa na kipimo...Hata wewe ukizidisha Pombe kidogo unaweza fanya kitu leo then kesho ukasema si wewe..
Mbaya sana Mkuu ndiyo maana nasema kila kitu kiwe na kiwango hapo tutakuwa salama ila tukizidisha ni mbaya mno..Hapo ndiyo binadamu anapojishusha, Mungu alitupa uwelewa wa mema na mabaya tutofautiane na wanyama sasa kama na sisi tunabehave kama wanyama sijui tutafika wapi. Mbwa anaweza kufanya hayo hadharani si ndiyo?
Kila mtu yopu na style yake vyombo vinapofika mahali yake kuwa wengine watajikojolea wengine wanakuwa wapole kama wewe..Wengine ndiyo anasahau kiswahili yeye anakuwa ni YES, NO...Ila yabidi tuji-control sana maana wale watu walifanya jambo fedheha sana..Mmmh basi huyo jamaa kichwa cha panzi kufanya such things in public.
Mi hata nipige vyombo vipi...utakacho note nimelewa huwa na mkua mpole na mkimya sanaa sio kawaida. Nikiwa na dem alone masihara mengi. Tehe
Aah watu hawakuwanasa makofi ?? hahaha.....daah aisee mtu ukiwa had unatoa haja ni kheri ulewe ukiwa kwako. Mjini hapa watu wataja kukubeba beba. TeheKila mtu yopu na style yake vyombo vinapofika mahali yake kuwa wengine watajikojolea wengine wanakuwa wapole kama wewe..Wengine ndiyo anasahau kiswahili yeye anakuwa ni YES, NO...Ila yabidi tuji-control sana maana wale watu walifanya jambo fedheha sana..
kweli mkuu ni hulka tu ya mtu ...tusisingizie pombe...mlevi hata siku moja hajichomi kisu au kunywa sumu why? Ila anaweza kufanya mapenzi na dada poa bila kondom akisingizia pombe...huyu jamaa alidhamiria before hata hajanywa kumla bi dada mbele ya halaiki.Mmmh basi huyo jamaa kichwa cha panzi kufanya such things in public.
Mi hata nipige vyombo vipi...utakacho note nimelewa huwa na mkua mpole na mkimya sanaa sio kawaida. Nikiwa na dem alone masihara mengi. Tehe
Yes No imenichekeshaKila mtu yopu na style yake vyombo vinapofika mahali yake kuwa wengine watajikojolea wengine wanakuwa wapole kama wewe..Wengine ndiyo anasahau kiswahili yeye anakuwa ni YES, NO...Ila yabidi tuji-control sana maana wale watu walifanya jambo fedheha sana..