Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
Kuna baadhi ya waandishi wakitaka kuzungumzia watu waliofumaniwa wanasema ".... wakivunja amri ya 6" nimejiuliza sana hiyo amri ya sita inayosema usizini imeandikwa ktk kitabu gani? na kwa nini hawasemi ni amri ya 5 au ya 7? hakuna sehemu yoyote ktk biblia inayosema kuwa amri ya 6 inasema usizini, hebu kama soma biblia kitabu cha kutoka 20:1-17 hizi ni amri kumi alizozitamka mungu mwenyewe

wewe ndo walewale tu, mnaodhani ukatoliki ndo ukristo, amri ya sita inasema usiue wewe unasema usizini!!!i
Kutoka ; sura ya 20:
Aya ya 3 Usiwe na miungu mingine ila mimi. Amri ya kwanza
Aya ya 4 hadi ya 6 ni ufafanuzi wa amri iliyo kwenye Aya ya 3
Aya ya 7 Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi Mungu Anri ya pili
Aya ya 8 Usisahahu kuweka kitakatifu siku ya sabato Amri ya tatu
Aya ya 9 hadi 11 ni ufafanuzi wa amri iliyo kwenye Aya ya 8
Aya ya 12 Waheshimu baba na mama yako . Amri ya nne
Aya ya 13 Usiue Amri ya tano
Aya ya 14 Usizini Amri ya sita
Aya ya 15 Usiibe - Amri ya saba
Aya ya 16 Usimshuhudie jirani yako uongo _amri ya nane
Aya ya 17 Usitamani nyumba ya jirani yako, wla mke wake wala mtumwa wakiume au wa kike,wala ngombe wake, wala punda wake wala kitu chochiote kilicho mali yake.
Aya hii inazungumzia vitu viwili, mke na mali ndiyo maana zikawekwa kuwa amri mbili:
Usitamani mke wa jirani yako Amri ya tisa
Usitamani mali ya jirani yako Amri ya kumi
Daaahh aiseee huyu atakua ni msabato....daaah nimeshangaaaa kwa kweli....duuuuhhhhh....
Nani anapingana na biblia katika hali ya kawaida wewe soma tu maswali yake amri ya sita inajulika...ni usizini...kwa nini?
Nani anapingana na biblia katika hali ya kawaida wewe soma tu maswali yake amri ya sita inajulika...ni usizini...