Riz king
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 275
- 547
Kumekuwa na lawama sana kumhusu Mugalu baada ya kosa kosa zake za juzi mpaka kufikia hatua baadhi ya mashabiki kumtusi tena matusi ya nguoni.
Mugalu hakupenda kukosa, ukiangalia baadhi ya kosa kosa zake ni jinsi ambavyo kipa wa Yanga alikuwa anaji position na kumzibia lango akawa anakosa maamuzi sahihi.
Morrison kipind tunafungwa kwenye ligi alikosa sana magoli ila kwa akili zetu tukaanza kumtetea kuwa eti yanga waliroga sana, lakini kwa Mugalu aliyetupa furaha msimu ulioisha tumeanza kumtukana hadi kutaka kukufuru.
Niseme kati ya morrison na Mugalu kwa upambanaji ndani ya simba nani anaipambania? Mbona hatukumtukana morrisson kipind tumefungwa msim jana lakn leo tumtukane mugalu