Tuache kumlaumu Mugalu. Kuna mengi katufanyia

Hii ndo tofauti ya mashabiki wa Simba na Yanga.
Simba wanajua shida ni baadhi ya wachezaji,vuta picha ingekua upande wa pili wangefungwa.tff,body ya ligi au uongozi wao wasingepumua.
 
Tumvumilie sababu ni mchezaji wetu kama vile Utopolo walivyomvumilia Sarpong
 
Morrison kipind tunafungwa kwenye ligi alikosa sana magoli ila kwa akili zetu tukaanza kumtetea kuwa eti yanga waliroga sana, lakini kwa Mugalu aliyetupa furaha msimu ulioisha tumeanza kumtukana hadi kutaka kukufuru.

Mugalu hajawahi kuamua Match tofauti na Morrison
 
Nimekuja mbio kuona hayo mengi aliyotufanyia nikajua labda nimesahau umeyaweka hapa ili tukumbuke wanasimba wote.

Mugalu ni mchezaji wa mechi ndogo hajawahi funga goli kwenye mechi yoyote kubwa na yenye presha licha ya kuaminiwa mara zote.

Lazima tumlaumu kwani ni nafasi za wazi anapoteza kwenye mechi muhimu mfano game ya kaizer chiefs
Afu naona kila anayejiskia kuongea kuhusu mugalu anataja mechi ya kaizer......
Nikumbushe ile mechi alikosa nafasi ngapi? Na boko pia alikosa Ngapi?
Maana chance clear kabisa nakumbuka ilipotezwa na Boko, ukiweza naomba nione hiyo video anavyopoteza chance......
Ila ukiitaka ya Bocco ntakuonesha.

Tunajisahaulisha kuwa, msimu uliopita Mugalu alikuwa anaenda kuchukua kiatu, tukaona tumfanyie mazingira Bocco.
Anaingia dakika za mwisho anapiga penati, na sifa zote zinaenda kwake.
 
Huwa unaangalia mpira kweli ?
Mugalu hajawahi amua mechi?
 
Afu naona kila anayejiskia kuongea kuhusu mugalu anataja mechi ya kaizer......
Nikumbushe ile mechi alikosa nafasi ngapi? Na boko pia alikosa Ngapi?
Maana chance clear kabisa nakumbuka ilipotezwa na Boko, ukiweza naomba nione hiyo video anavyopoteza chance......
Ila ukiitaka ya Bocco ntakuonesha.

Tunajisahaulisha kuwa, msimu uliopita Mugalu alikuwa anaenda kuchukua kiatu, tukaona tumfanyie mazingira Bocco.
Anaingia dakika za mwisho anapiga penati, na sifa zote zinaenda kwake.
Hiyo penalty alikatwa Boko akapiga Boko
 
Nimekuja mbio kuona hayo mengi aliyotufanyia nikajua labda nimesahau umeyaweka hapa ili tukumbuke wanasimba wote.

Mugalu ni mchezaji wa mechi ndogo hajawahi funga goli kwenye mechi yoyote kubwa na yenye presha licha ya kuaminiwa mara zote.

Lazima tumlaumu kwani ni nafasi za wazi anapoteza kwenye mechi muhimu mfano game ya kaizer chiefs
Hizo mechi ndogo ndizo ambazo ziliifanya simba ikachukua ubingwa ikaenda hadi kukutana na hao kaizer chief.
 
Mambo mengine tuwaachie makocha na bench la ufundi.maana mashabiki wa bongo ndivyo walivyo.hawanaga jema.kila mtu kocha na mjuaji.kuna wabongo wanawakosoa hadi kina ronaldo na messi.Sasa hiyo tabia ni hulka yetu ndo maana michezo yetu haifikagi mbali.Mimi kwa umandazi wangu kwenye soka bado nasema mugalu ni mchezaji mzuri,anachokikosa ni umakini na utulivu tu.na hilo ni jambo la kawaida kwabinadamu na wataalamu wapo wakulifanyia kazi.
 
Ni katika kujifariji tu ila ukweli nyau mbele ya yanga huwa Ana mbwela sana sio mechi ya juzi tu karibu mechi zote
Na kwa mechi ya juzi bado isingekua rahisi yanga kukubali kufungwa na simba mara mbili mfululizo.Wote tulishuhudia mechi ya kigoma ambayo simba ilishinda kwa mbinde na ilikua kwenye fomu kuliko yanga. na sasa iangalie yanga kwenye mechi ya juzi alafu tuambiane simba bado ingeweza kuifunga yanga.tupunguze ushabiki maandazi tuangalie ukweli.Ligi ikishakolea ndo kila timu itakua imeshapata muda wakumsoma mwenzake kwahiyo wakija kukutana kwenye ligi ndo tutajua yupi yuko vizuri zaidi.Mimi nimeridhika kabisa tulivyofungwa juzi chamsingi kocha afanyie marekebisho mifumo yetu ya uchezaji.
 
Afu naona kila anayejiskia kuongea kuhusu mugalu anataja mechi ya kaizer......
Nikumbushe ile mechi alikosa nafasi ngapi? Na boko pia alikosa Ngapi?
Maana chance clear kabisa nakumbuka ilipotezwa na Boko, ukiweza naomba nione hiyo video anavyopoteza chance......
Ila ukiitaka ya Bocco ntakuonesha.

Tunajisahaulisha kuwa, msimu uliopita Mugalu alikuwa anaenda kuchukua kiatu, tukaona tumfanyie mazingira Bocco.
Anaingia dakika za mwisho anapiga penati, na sifa zote zinaenda kwake.
Yaani boko kuingia na timu kupata penalt ni mipango ya kocha why kama ni hivyo usiseme ni mipango ya refa maana gomez hahusiki chochote na ile penalty na boko ndio mpiga penalty wa simba angeweza kuingia na timu isipate hiyo penalty
 
Afu naona kila anayejiskia kuongea kuhusu mugalu anataja mechi ya kaizer......
Nikumbushe ile mechi alikosa nafasi ngapi? Na boko pia alikosa Ngapi?
Maana chance clear kabisa nakumbuka ilipotezwa na Boko, ukiweza naomba nione hiyo video anavyopoteza chance......
Ila ukiitaka ya Bocco ntakuonesha.

Tunajisahaulisha kuwa, msimu uliopita Mugalu alikuwa anaenda kuchukua kiatu, tukaona tumfanyie mazingira Bocco.
Anaingia dakika za mwisho anapiga penati, na sifa zote zinaenda kwake.
Mugalu hajawahii kutubeba mechi yoyote ya maana kwa kifupi ni striker mzembe na makosa ya kina bocco na morisson hayahalalishi uzembe wake
 
Hujaweka taarifa ya Boko kukatwa. Mtu atahisi hiyo penalty labda beki alishika au Boko hakuhusika moja kwa moja kwenye kutengeneza halafu penalty akapewa Boko.
Bocco hii tabia ya kukosa penalty hasa kwenye mechi tunayohitaji matokeo kulko chochote imekuwa endelevu. Imefikia hatua nakuwa na shaka nae. Kwanini asijiongeze binafsi akaacha kuwa mpigaji kama Nyoni yupo uwanjani? Hii ya kusema atafutiwe ufungaji bora aachane nayo ila ashiriki kwenye kuitafutia simba magoli hata asipotia mpira kambani.
 
Afu naona kila anayejiskia kuongea kuhusu mugalu anataja mechi ya kaizer......
Nikumbushe ile mechi alikosa nafasi ngapi? Na boko pia alikosa Ngapi?
Maana chance clear kabisa nakumbuka ilipotezwa na Boko, ukiweza naomba nione hiyo video anavyopoteza chance......
Ila ukiitaka ya Bocco ntakuonesha.

Tunajisahaulisha kuwa, msimu uliopita Mugalu alikuwa anaenda kuchukua kiatu, tukaona tumfanyie mazingira Bocco.
Anaingia dakika za mwisho anapiga penati, na sifa zote zinaenda kwake.
Naikumbuka hii majungu ya waziwazi yale
 
Back
Top Bottom