Tuache kumlaumu Mugalu. Kuna mengi katufanyia

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
Kumekuwa na lawama sana kumhusu Mugalu baada ya kosa kosa zake za juzi mpaka kufikia hatua baadhi ya mashabiki kumtusi tena matusi ya nguoni.

Mugalu hakupenda kukosa, ukiangalia baadhi ya kosa kosa zake ni jinsi ambavyo kipa wa Yanga alikuwa anaji position na kumzibia lango akawa anakosa maamuzi sahihi.

Morrison kipind tunafungwa kwenye ligi alikosa sana magoli ila kwa akili zetu tukaanza kumtetea kuwa eti yanga waliroga sana, lakini kwa Mugalu aliyetupa furaha msimu ulioisha tumeanza kumtukana hadi kutaka kukufuru.

Niseme kati ya morrison na Mugalu kwa upambanaji ndani ya simba nani anaipambania? Mbona hatukumtukana morrisson kipind tumefungwa msim jana lakn leo tumtukane mugalu
 
Mugalu ni mzuri lakini Kuna mda anakera
Sawa broo. Tuache double standard. Iv mbna morrison kwa upuuzi wake usio na msaada anakosekana uwanjani lakn huyu mugalu tunamshamblia. Tusiwe kma mashabk wa yanga walomtusi metacha
 
Metacha alistahili

Lkn Kwa attacking ya wanasimba huwa hatari kuliko ya yanga

Pindi. Manara Yuko Simba alisaidia Sana Kwa sababu mashabiki wengi walikuw wanamuatack yeye kidogo wachezaji

Sasa sijui Mugalu kama ataendelea kubaki
 
Ni katika kujifariji tu ila ukweli nyau mbele ya yanga huwa Ana mbwela sana sio mechi ya juzi tu karibu mechi zote
 
Sawa broo. Tuache double standard. Iv mbna morrison kwa upuuzi wake usio na msaada anakosekana uwanjani lakn huyu mugalu tunamshamblia. Tusiwe kma mashabk wa yanga walomtusi metacha
Morson ni mchezaji wa hovyo Sana na viongozi Kama wanamwogopa vile hana msaada kwa timu,
Derby ya ngapi hii inakosekana
 
Nimekuja mbio kuona hayo mengi aliyotufanyia nikajua labda nimesahau umeyaweka hapa ili tukumbuke wanasimba wote.

Mugalu ni mchezaji wa mechi ndogo hajawahi funga goli kwenye mechi yoyote kubwa na yenye presha licha ya kuaminiwa mara zote.

Lazima tumlaumu kwani ni nafasi za wazi anapoteza kwenye mechi muhimu mfano game ya kaizer chiefs
 
Kwangu mimi Mugalu tangu asajiliwe Simba sijawahi kumuelewa hata kidogo sio juzi tu
Kwangu mimi ni bora ya Kagere kuliko Mugalu
Kagere anakuofaa kitu kimoja tu , Ila Mugalu anakuofa vitu vitatu na ndiyo maana kocha humuanzisha yeye kiko boko na kagere

Mfumo wa Simba aliouasisi djuma ni midfielders wengi mshambuliaji mmoja au striker mmoja na second striker mmoja katika mfumo huu unamuofa Sana Mugalu na boko na siyo kagere . Walimjaribisha siku moja kocha akaingiza washambuliji watatu kagere akawa anatokea kulia pembeni lkn akafeli

Ili kagere afit kunapaswa kuwa na box to box aggressive na lower temper midfielders 3 mpaka WATANO Simba ndo kagere aonekane.

Maana kagere ni clinical finisher yeye lzm awe karibu na goli yeye ni kumaliza Tu sasa hivi Simba haina viungo hao maana yake ukimwingiza kagere Kwa mfumo huo WA sasa wanaocheza Simba. Pamoja na viungo walionao mpira hutaweza kukaa mbele na hii kocha anaiona mazoezini na ndiyo maana kumpanga kwenye mechi inakuwa ngumu
 
Ni kweli Kama ulivyosema mgalu ana ofa vitu vingi uwanjani lakini anatakiwa afanyie kazi tatizo la kukosa magoli ya wazi karibu kila gemu
 
Sasa lzm ujiulize je Bora timu yako ilemewe na timu pinzani Kwa kuwa timu yako haiwezi kukaa na mpira kwenye goli la wapinzani , ambapo unawapa midfielders WA timu pinzani warelax na mabeki walirax kitu bacho kinasababisha timu yako kuruhusu timu pinzani kutengeneza nafasi nyingi na kama wako vzr waweza kuwafuga magoli mengi come. Back to zile 5 /5 ambazo kagere alicheza licha ya Simba kuwa na midfielders 2 box to box aggressive , watulivu magoli waliyofungwa yalianzia nyuma , maana yake striker wa Simba hawakuweza kuutuliza mpira . Sasa ona magoli ya kaiza chiefs ambayo Mugalu alicheza , mogoli mengi yalikuwa ya long balls (counter attack) ambayo Simba walishambulia strikers wao waliponyany'anywa Kwa kuwa kaizer walikuwa wakiubana uwanja midfielders wao walikuwa aggressive na kupiga long pas Kwa uzuri wa striker wa kaizer wakaconveti magoli

Ni kumtakia Tu mwalimu aendelee kumfanya awe na utulivu anapofika golini Kwa mpinzani na kuanza kutengeneza kikosi ambacho pia kitamfeva kagere kuingia
 
Mugalu bonge moja la mfungaji, yani akipata mpira unajua kuna kitu kitatokea, sidhani kama kuna beki anatamani kumkaba Mugalu, mchezaji mwenye quality zote za kuwa mfungaji, anachokosa Mugalu ni umakini tu golini, papala tu ya kufunga, simba wampatie Mugalu mtu wa saikolojia, amini nawaambia Mugalu lazima awe kwenye tatu bora ya wafungaji msimu huu wa ligi
 
Kagere anakuofaa kitu kimoja tu , Ila Mugalu anakuofa vitu vitatu na ndiyo maana kocha humuanzisha yeye kiko boko na kagere

Mfumo wa Simba aliouasisi djuma ni midfielders wengi mshambuliaji mmoja au striker mmoja na second striker mmoja katika mfumo huu unamuofa Sana Mugalu na boko na siyo kagere . Walimjaribisha siku moja kocha akaingiza washambuliji watatu kagere akawa anatokea kulia pembeni lkn akafeli

Ili kagere afit kunapaswa kuwa na box to box aggressive na lower temper midfielders 3 mpaka WATANO Simba ndo kagere aonekane.

Maana kagere ni clinical finisher yeye lzm awe karibu na goli yeye ni kumaliza Tu sasa hivi Simba haina viungo hao maana yake ukimwingiza kagere Kwa mfumo huo WA sasa wanaocheza Simba. Pamoja na viungo walionao mpira hutaweza kukaa mbele na hii kocha anaiona mazoezini na ndiyo maana kumpanga kwenye mechi inakuwa ngumu
sisi tunachotaka striker afunge hayo mengine anayo offer ni nyongeza tu. offer magoli, magoli magoli hayo mengine ayaache.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom