Tuache kumdhihaki Rais

Tuache kumdhihaki Rais

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,276
Reaction score
23,568
Watu wote wanao msifia rais hata pale ambapo haistahili hii inakuwa tena sio sifa bali ni dhihaka. Wengine wamefika hata mahali pa kumwita kuwa yeye ndiye Mungu au Yesu, hii ni dhihaka na kufuru kubwa.

Viongozi na watanzania tuache unafiki wa kutumia mwanya uliopo ili kujinufaisha. Haya mambo ya kumwita binadamu Mungu yalitokea zamani na walioitwa Mungu tunajua nini kiliwapata. Tusipende hayo yaliyowapata yatokee siku zetu.

Kama mtu unataka cheo na madaraka basi fanya kazi kwa weledi na utapata cheo kwa njia hiyo na sio kwa njia ya kusifia kinafiki. Tuache dhihaka kwa Mungu, tuache dhihaka kwa rais.
 
Watu wote wanao msifia rais hata pale ambapo haistahili hii inakuwa tena sio sifa bali ni dhihaka. Wengine wamefika hata mahali pa kumwita kuwa yeye ndiye Mungu au Yesu, hii ni dhihaka na kufuru kubwa. Viongozi na watanzania tuache unafiki wa kutumia mwanya uliopo ili kujinufaisha. Haya mambo ya kumwita binadamu Mungu yalitokea zamani na walioitwa Mungu tunajua nini kiliwapata. Tusipende hayo yaliyowapata yatokee siku zetu. Kama mtu unataka cheo na madaraka basi fanya kazi kwa weledi na utapata cheo kwa njia hiyo na sio kwa njia ya kusifia kinafiki. Tuache dhihaka kwa Mungu, tuache dhihaka kwa rais.
Umewahi kusikia akikemea ?
 
Habari ya mjini Ni hii
 
Inapaswa na yeye binafsi kukataa sifa na utukufu huo, ili Mungu allye juu akapate kupokea sifa, heshima na utukufu wote.
Watu wote wanao msifia rais hata pale ambapo haistahili hii inakuwa tena sio sifa bali ni dhihaka. Wengine wamefika hata mahali pa kumwita kuwa yeye ndiye Mungu au Yesu, hii ni dhihaka na kufuru kubwa. Viongozi na watanzania tuache unafiki wa kutumia mwanya uliopo ili kujinufaisha. Haya mambo ya kumwita binadamu Mungu yalitokea zamani na walioitwa Mungu tunajua nini kiliwapata. Tusipende hayo yaliyowapata yatokee siku zetu. Kama mtu unataka cheo na madaraka basi fanya kazi kwa weledi na utapata cheo kwa njia hiyo na sio kwa njia ya kusifia kinafiki. Tuache dhihaka kwa Mungu, tuache dhihaka kwa rais.
Natambua ya kuwa naye ni muumini wa madhehebu fulani. Kwa hiyo kwa imani yake, ni lazima atambue ya kuwa ni Mungu Muumba wetu, ndiye tu mwenye kustahili hilo, na pia ndiye ambaye mwenye kujua hatima ya kila kiumbe ambacho amekiumba.

Kwake yeye wanadamu wote aliowapa nafasi ya kuishi ni sawa, isipokuwa ni kama mwanadamu hao kwa utashi, akili na pia kwa hiari yao wameamua kufuata kwa dhati, ama unyofu wa maisha na uchaji Mungu, ama kwa hasara yao wenyewe wameamua kuziasi sheria zake za milele.
 
Watu wote wanao msifia rais hata pale ambapo haistahili hii inakuwa tena sio sifa bali ni dhihaka. Wengine wamefika hata mahali pa kumwita kuwa yeye ndiye Mungu au Yesu, hii ni dhihaka na kufuru kubwa. Viongozi na watanzania tuache unafiki wa kutumia mwanya uliopo ili kujinufaisha. Haya mambo ya kumwita binadamu Mungu yalitokea zamani na walioitwa Mungu tunajua nini kiliwapata. Tusipende hayo yaliyowapata yatokee siku zetu. Kama mtu unataka cheo na madaraka basi fanya kazi kwa weledi na utapata cheo kwa njia hiyo na sio kwa njia ya kusifia kinafiki. Tuache dhihaka kwa Mungu, tuache dhihaka kwa rais.

Ukiona Mwanaume anapenda sana Kumsifia Mwanaume Mwenzake tena hadi Kujipendekeza Kwake jua hata Siku akiombwa vingine atavitoa tu.
 
Inapaswa na yeye binafsi kukataa sifa na utukufu huo, ili Mungu allye juu akapate kupokea sifa, heshima na utukufu wote.Natambua ya kuwa naye ni muumini wa madhehebu fulani. Kwa hiyo kwa imani yake, ni lazima atambue ya kuwa ni Mungu Muumba wetu, ndiye tu mwenye kustahili hilo, na pia ndiye ambaye mwenye kujua hatima ya kila kiumbe ambacho amekiumba.

Kwake yeye wanadamu wote aliowapa nafasi ya kuishi ni sawa, isipokuwa ni kama mwanadamu hao kwa utashi, akili na pia kwa hiari yao wameamua kufuata kwa dhati, ama unyofu wa maisha na uchaji Mungu, ama kwa hasara yao wenyewe wameamua kuziasi sheria zake za milele.
Sasa mkuu, mzee meko atakataaje hizo sifa feki za uungu anazopewa wakati yeye ni mlevi wa hizo sifa..??!!
 
Back
Top Bottom