Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,161
- 12,917
Nikajua KUJICHUA (Punyere). Next time kuwa Makini na matumizi ya maneno hayo. AsanteKizazi Cha Sasa sio wanawake Wala wanaume tuko obsessed na kuwa weupe,wengine tunajidanganya Kwa jina la kuglow.
Kuglow uglow na rangi yako halisia huku unawaka na kumeremeta,rangi yako halisi,ngozi yako safi
kwani nani kasema weusi ni mbaya?
Weusi ni rangi adimu yenye thamani sana hata wazungu wanatamani wawe nao ila ndo hivo,wanatudharau tunavyojibabua.
Watu wenye ualbino (albinism) wanatamani wawe na hii rangi tunayoichezea lakini wapi..hawawezi.
Ndani ya mwili Kuna seli zinazalishwa tuziite melanocytes,hizi zinaachia kitu inaitwa melanin..hii ndo huchochea rangi ya ngozi nywele na macho yako.sasa unapopaka mikorogo ama kipodozi chenye kubleach huwa kinapenya na kuingia ndani ya mfumo wako wa damu,zile kemikali toka kwenye mafuta ulopaka zinaenda na kuingilia uzalishaji wa melanin,ni kama kinabock na huku Kuna nyingine inabrighten ngozi yako,utaanza kuwa wa njano au mweupe.
Lakini umewahi kujiuliza utakapoacha kutumia mkorogo utabaki hivohivo?hapana
Ukikosa pesa ya mikorogo tu utaanza kuwa kituko kama kuku aliebanikwa unajua kwanini? Sababu umeua uzalishaji wa melanin,inakulinda dhidi mionzi ya jua,so Kwa ngozi iliyochubuliwa haiwezi kupambana na mionzi ya jua na ikizidiwa kinachofuata ni kansa.
Ukioverdose matumizi ya mkorogozile kemikali Zina uwezo wa kuua kabisa seli zako mwilini.hutarudi awali tena.jua litakuwa adui yako,mionzi ikikuzidia kifuatacho ni kansa.huoni kwanini wenye albinism wanapata tabu juani Hadi wajilinde Kwa kupaka mafuta maalum ya kuwalinda dhid ya mionzi ya jua.sababu hawana melanin..kinyume na hapo wakikosa hayo mafuta wakipigwa na jua sana wanatoka vidonda na kansa za ngozi ndio tishio lao kuu.
Hata wazungu wanapaka sunblocks,jua sio rafiki kwao.
Kama melanin inasaidia macho tarajia macho yako kufa au uoni hafifu.huoni wenye albinism wanavyopata shida ya macho
Mkorogo unaua macho yako!
Tuthamini tulichopewa.sisi ni wazuri!
Tujikubali.
IliWakumbushe si watu wote wanapendeza kuwa weupe. Kajala na Wema were hotter wakiwa darker 🔥🔥🔥🔥🔥
Ndio hivoSikuizi mpaka weupe wanajichubua wawe w
Mjinga wewe 🤣Nikajua KUJICHUA (Punyere). Next time kuwa Makini na matumizi ya maneno hayo. Asante
Nyinyi ndo chanzo Cha tatizoUkiwa na mawazo ya kingonongono kujibua kuna Kunyemelea hasa ukiwa akili mgando.
Maana wadada weupe machoni kwa kiasi kikubwa wanavutia kwa siku ya Kwanza.
Ingawaje mimi navutiwa na maji ya kunde inayoelekea nyeupe. Asiwe mweupe moja kwa moja
🤣🤣🤣Shaurianeni pia muache kutumia filter mnapopiga picha, kwenye picha mweupe tukikutana mweusi
Ndio hivo
Mjinga wewe 🤣
Nyinyi ndo chanzo Cha tatizo
Labda ule weusi wao unawaboa wanahitaji kupoza rangi kidogo🤣Wanaume wa kinyakyusa wasukuma kwenye wasukuma ni Kanda ya ziwa Kwa ujumla wanapenda wanawake weupe sijui wanashida gan na weupe wa mwanamke
Aftatu tu una kipako chako huku uswahilini.Ubaya wengine wanapaka vya bei rahisi hizo sugu sasa looh😆😆
Ukiwa na mawazo ya kingonongono kujibua kuna Kunyemelea hasa ukiwa akili mgando.
Maana wadada weupe machoni kwa kiasi kikubwa wanavutia kwa siku ya Kwanza.
Ingawaje mimi navutiwa na maji ya kunde inayoelekea nyeupe. Asiwe mweupe moja kwa mojae
Ukiwa na mawazo ya kingonongono kujibua kuna Kunyemelea hasa ukiwa akili mgando.
Maana wadada weupe machoni kwa kiasi kikubwa wanavutia kwa siku ya Kwanza.
Ingawaje mimi navutiwa na maji ya kunde inayoelekea nyeupe. Asiwe mweupe moja kwa mojae
Kwanza huku nyuma ya shingo maskini sijui hawajionagi au ndio vipako havireactAftatu tu una kipako chako huku uswahilini.
Uso mweupee...miguu miguu ya zamani
Huku da ndo hapafainIpo kijijin huku nimeshangaa hadi huku kuna wanaume wanajikrimu
Hadi nimevutiwa na biashara ya vipodoz naona wateja ni wengi,tatzo polis nao wapo macho sana