Sijui nikuite hujui kitu!!?New model means New modifications of the existence!
mbona iko wazi inaeleweka.
mtoa mada unachanganya kati ya new model Vs New Brand !
NOTE;new model can also be new brand
CASE CLOSED!!!
Hata kama ina miaka 20 provided hakuna model nyingine mpya zaidi ya hiyo bado itaendelea kuitwa new modelwhat a word, umeniwahi tu mkuu, gari ya miaka 15 au 10 nyuma itakuwaje new model, ni ushamba wa kiwango cha jiwe kuu.
Huwezi kuita gari ya 2004 new model, tunawakosea wanaotengeneza hayo magari. Its just a Toyota RAV4 2004 model. Tupo kwenye dunia ya kijiji sasa hivi, kuita gari ya 2000 " a new model car" ni kuuukosea ulimwengu wa teknolojia heshima.Sidhani kama inakosewa endapo hiyo gari ya 2004 ndio model mpya nchini kulinganisha na model ya awali.
Kimantiki kwa mujibu wa kamusi ya merriam-webster;
New - having recently come into existence : RECENT, MODERN.
Chochote kilichokuja mbele ya kile cha zamani basi moja kwa moja ni sawa kusema 'new'.
Itakosewa kama mjapan akiita model ya 2004 new ilhali wanaendesha model za 2018 tayari. Kwa hapa kwetu latest model kabisa asilimia kubwa ni 2012 kwa nyingi ya gari zetu za mitumba.
Sawa mkuu. Whatever makes you happy.Huwezi kuita gari ya 2004 new model, tunawakosea wanaotengeneza hayo magari. Its just a Toyota RAV4 2004 model. Tupo kwenye dunia ya kijiji sasa hivi, kuita gari ya 2000 " a new model car" ni kuuukosea ulimwengu wa teknolojia heshima.
Toa mfano ni gari gani unayoifahamu imepita miaka 20 na hakuna model yake ingine?Hata kama ina miaka 20 provided hakuna model nyingine mpya zaidi ya hiyo bado itaendelea kuitwa new model
So far brevis zimekuwa discontinued...hahahha
Nauza Brevis imetembea Kilomita 76,000 New Model
Toyota stout😆😆😆😆Toa mfano ni gari gani unayoifahamu imepita miaka 20 na hakuna model yake ingine?
Hiyo ilipaswa iitwe 2nd generation maana Sasa hivi kuna hadi 3rd generation.Et Toyota Noah ya mwka 2004 inaitwa New model kweli? Mambo ya ajabu haya