mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Naona unafurahia brevis ya shemeji.So far brevis zimekuwa discontinued...
Tangu zilivoanza kutengenezwa toleo ni hilo hilo.
Mpe pole dadako hapo.
Naona unafurahia brevis ya shemeji.So far brevis zimekuwa discontinued...
Tangu zilivoanza kutengenezwa toleo ni hilo hilo.
Sawa mzeeNaona unafurahia brevis ya shemeji.
Mpe pole dadako hapo.
Et Toyota Noah ya mwka 2004 inaitwa New model kweli? Mambo ya ajabu haya
Kwetu ni new model sasa.... yaan gari ya mwaka huu 2018 itaanza kuingia tz 2030 na kuitwa ya wakati huo, na zitatamba miaka hiyo ijayo. Ikija ingizwa model ya 2019 kipindi hicho say 2031 itaitwa new modelEt Toyota Noah ya mwka 2004 inaitwa New model kweli? Mambo ya ajabu haya
hahaha hii mtoa mada nayo angeijumuisha nayo eti gari imetumika miaka kenda kadhaa halafu eti inatwa mma!Hahahaaaa, huenda kwake hiyo ndio new model!! Pia gari second hand kuitwa mpya huwa inanishangaza Sana!!
Tofautisha kati ya New Car na New Model carEt Toyota Noah ya mwka 2004 inaitwa New model kweli? Mambo ya ajabu haya