Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,371
- 100,422
Your talking nonsense broHii biashara ya kusema Watanzania ni Wavivu, hawana akili sijui hawana njaa ni udhalilishaji! Hawa ndio walitusomesha kwa kuchoma mkaa, kwa kutembea kwa miguu zaidi ya 20km kwenda sokoni kuuza uwele,.mahindi au mtama, hawa ndio wanaoamka asubuhi na kwenda Shamba wakimuomba Mungu mvua japo inyeshe. Hawa hawa ndio waliowapigia kura baada ya kuwarubuni, eti Leo tunawaita Wavivu?
Inauma sana Aisee, tumewanyima elimu, tukawaacha na magonjwa yao, wakafiwa wakalia wakazika wakasahau, kisha Leo tunawaita Wavivu!!!! Mungu atuepushe.
Asante kwa kusoma Nonsense, si mmeshapata kura! Njaa haifichiki, sema utakachosema ila njaa haifichiki, acheni kudharau Watanzania. Hakuna mpuuzi hata mmoja kati yenu nyote anayemlisha Mtanzania zaidi ya yeye mwenyeweYour talking nonsense bro
Ni kipi? Kununua unga kwa kilo sh. 1600??? OKUsipende kulalama fanya kilicho takiwa kufanywa
Asiyefaya kazi na asile upoNi kipi? Kununua unga kwa kilo sh. 1600??? OK
Hebu nambie ni nani ambaye hafanyi kazi? Nani? Yale mahindi yanayonyauka kule Shamba yamejipanda Yale??? Hii kodi mnayosema imeongezeka imetoka wapi kama watu hawafanyi kazi? Tuache dharau AiseeAsiyefaya kazi na asile upo
Yani ww natamani nikupe tusi jipya kuliko hata la yule mtunza bustani wa pale leaders club!!!Your talking nonsense bro
Wenye lugha yao usema no gain without painHebu nambie ni nani ambaye hafanyi kazi? Nani? Yale mahindi yanayonyauka kule Shamba yamejipanda Yale??? Hii kodi mnayosema imeongezeka imetoka wapi kama watu hawafanyi kazi? Tuache dharau Aisee
Basi Mpwa tuwasemehe bureYani ww natamani nikupe tusi jipya kuliko hata la yule mtunza bustani wa pale leaders club!!!
You have written nonsense brothermanYour talking nonsense bro
You have written nonsense brothermanYour talking nonsense bro
Andika na mifano basi wa hayo makabila kiongoziusiwasahau na wale wanaosema
................vitu vingine muwe mnauliza.
yaani kuna makabila wanajiona wako bright, perfect na wajanja kuliko makabila mengine.
Weye ndio unaongea visivyositahiri, mshahara na marupurupu unayolipwa na gharama zote unazotumia, chanzo chake ni kwa hao unaowaita wavivu! Wavivu wanaweza kulipa kodi kwa kila kitu wanachonunua na huduma zote wanazotumia na bado wakawa wapole tu! hata Mungu anawaoneni! Kwani hata farao alikuwa kiburi lakini siku moja aliangamia yeye na wapanda farasi wake!Your talking nonsense bro
Weye una fanya nini kujenga Taifa kukaa kwenye mitandao since morning till evening ku crush mawazo ya weusi wenzio ndio unajihesabu umefanya kazi? afadhari hata vocha ungekuwa unanua kwa hela yako basi!Usipende kulalama fanya kilicho takiwa kufanywa