S sali20 Member Joined Jul 15, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Jul 20, 2013 #1 Habari zenu wanajamii kuna mtu yoyote anajuwa kinachoendelea kule TTCL kuhusu zile kazi za customer care?
Habari zenu wanajamii kuna mtu yoyote anajuwa kinachoendelea kule TTCL kuhusu zile kazi za customer care?
M Mwarabu55 Member Joined Jul 5, 2013 Posts 53 Reaction score 39 Jul 22, 2013 #2 nimesikia juu juu kama watu wameshafanya interview,ila taarifa hizi sina uhakika nazo
S sali20 Member Joined Jul 15, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Jul 22, 2013 Thread starter #3 Mwarabu55 said: nimesikia juu juu kama watu wameshafanya interview,ila taarifa hizi sina uhakika nazo Click to expand... Heee jamani ama kweli ubinafsi unaongoza katika ajira nchini! Shame on them
Mwarabu55 said: nimesikia juu juu kama watu wameshafanya interview,ila taarifa hizi sina uhakika nazo Click to expand... Heee jamani ama kweli ubinafsi unaongoza katika ajira nchini! Shame on them
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Jul 22, 2013 #4 sali20 said: Heee jamani ama kweli ubinafsi unaongoza katika ajira nchini! Shame on them Click to expand... amekwambia kasikia juu kwa juu,hana uhakika.... lakin ulivyocomment duh
sali20 said: Heee jamani ama kweli ubinafsi unaongoza katika ajira nchini! Shame on them Click to expand... amekwambia kasikia juu kwa juu,hana uhakika.... lakin ulivyocomment duh
S star40 Member Joined Jun 28, 2013 Posts 11 Reaction score 1 Jul 22, 2013 #5 mmh wiki iliyopita nimepita pale headofice nikaambiwa bado labda wik hii ndo wataita.
S sali20 Member Joined Jul 15, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Jul 22, 2013 Thread starter #6 star40 said: mmh wiki iliyopita nimepita pale headofice nikaambiwa bado labda wik hii ndo wataita. Click to expand... Mhh good news kwa kweli! Sante kwa information.
star40 said: mmh wiki iliyopita nimepita pale headofice nikaambiwa bado labda wik hii ndo wataita. Click to expand... Mhh good news kwa kweli! Sante kwa information.
S star40 Member Joined Jun 28, 2013 Posts 11 Reaction score 1 Aug 4, 2013 #7 any news ndungu?hawa watu mbona hawaiti sasa au ndo watu wao wameshawaweka mweeeh