Kabla ya kufanya hivyo kwanza ajue kama alipo pana mnara wa TTCL wenye uwezo huo au ndo wana-ROAM kwa wengine..!Click yes Mkuu coz TTCL wana roam nahisi wana minara michache
Click Ok tu! Hio haina shida, sabu TTCL wana Roam network yao kupitia minara ya tiGO...View attachment 1071088
msaada wa kuondoa hili tatizo pamoja na setting za interment za ttcl pia roaming icon inaonekan kwnye bar ya network
Set APN yako hivi ๐hata nikiclik yes roaming icon inabaki na nikibonyeza menu kila mda inaniletea hivo ivo na data haisomi nipo Dodoma mipango
Hiyo R mkuu haina effects zozote mkuu! It stands for the word "Roaming" ndio maana inaweka R pale juu endapo kama mtandao husika hauna mnara hiyo sehemu ulipo na unatumia miundombinu ya mtandao mwingine ili uweze kufanya kazi ndio maana ya Data Roaming....hats nikiclik network haipandi niefanya setting zot lakin R haiondoki
Kwa screencapture ulotoa nimeona 3G ipo line 2 na TTCL ipo line 1 ina maana unatumia internet ya line 2.hats nikiclik network haipandi niefanya setting zot lakin R haiondoki
Kweli inaonyesha haja select simcard ya internet iwe TTCL sim1Kwa screencapture ulotoa nimeona 3G ipo line 2 na TTCL ipo line 1 ina maana unatumia internet ya line 2.
Hebu rudisha network access line 1!..
Hilo ni tatizo la TTCL kwa simu za 3G inataka yenyewe ndio iwe selected kama default na akiselect kuna hatihati Line 2 ikawa haipatikani though ipo online!.Kweli inaonyesha haja select simcard ya internet iwe TTCL sim1
Huu mtandao utafikiri unamilikiwa na machokoraa badala ya serikali maana ni upuuzi mtupu
View attachment 1071088
msaada wa kuondoa hili tatizo pamoja na setting za interment za ttcl pia roaming icon inaonekan kwnye bar ya network