TTCL yazindua huduma ya TTCL PESA

TTCL yazindua huduma ya TTCL PESA

Wameangalia uhitaji wa soko au wameingia tu sababu wenzao wameanzisha hiyo huduma?
Sijaona mtu atakae weza watoa Tigo na Voda na Airtel kwenye hili soko la pesa
Ukizingatia kuwa TTCL hata line zake tu kuonaekana ni nadra sana

KWanini wasingekuja na kitu kingine ambacho kingerahisisha sana upatikanaji wa huduma ya pesa kwa gharama nafuu zaidi ili tuwakwepe hawa ambao ukitoa milioni unakatwa 8000

Aliye washauri kuwa ukiwa kampuni ya simu lazima uwe na money transfer service kawapoteza, wamechelewa sana...
Wao wangeanzisha huduma nyingine ambayo ni bora kuliko hii ya sasa ya ssid,
 
Wameangalia uhitaji wa soko au wameingia tu sababu wenzao wameanzisha hiyo huduma?

KWanini wasingekuja na kitu kingine ambacho kingerahisisha sana upatikanaji wa huduma ya pesa kwa gharama nafuu zaidi ili tuwakwepe hawa ambao ukitoa milioni unakatwa 8000

-Ndumilakuwili-
 
Naona kampuni ndio imetoka usingizini.
 
Kuipiku Tigo Pesa na Mpesa ni kazi ngumu, Airtel money wenyewe wapo wapo tu.

Ni vigumu kuwatoa Watanzania kwenye kitu walichokizoea tangu na tangu.

Wangebuni biashara nyingine na sio kila biashara inayofanywa na haya makampuni basi wote wafanye .
 
TTCL wanatakiwa kupita kwa wadau wao wa enzi na enzi...yaani taasisi za serikali na ikiwezekana waraka maalumu wa kulazimisha taasisi za serikali kutumia TTCL.
 
Kuipiku Tigo Pesa na Mpesa ni kazi ngumu, Airtel money wenyewe wapo wapo tu.

Ni vigumu kuwatoa Watanzania kwenye kitu walichokizoea tangu na tangu.

Wangebuni biashara nyingine na sio kila biashara inayofanywa na haya makampuni basi wote wafanye .
Unaijua Posta na Simu wewe?
 
Wangeboresha kwanza mtandao wao wamawasiliano na kuongeza uwakala kisha waje na pesa

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Hii kampuni hata voucher zake tu hazipatikani huku mtaani ndiyo itakuwa TTCL pesa, hiki ni kichekesho
 
Unaijua Posta na Simu wewe?

Sasa unafananisha matumizi ya Posta na Mobile money?

Ni watanzania wangapi wanajua kuwa TTCL imefufuka na vifurushi vya data?

Kubalini tu hapo wamebugi, Mtanzania Wa mwisho kabisa huwezi kumwambia aache Mpesa atumie TTcl Pesa!

Kampuni ya simu ya Halotel imekuja juu kwa sababu ya Internet yao na watumiaji wakubwa ni vijana. Lakini huwezi ukamtoa Mzee aliyezoea kutumia Voda aanze eti kutumia Halotel na Ndivyo ilivyo kwenye Mpesa wangejikita kwenye uuzaji Wa data.
 
Hawa jamaa sielewi strategies za wala approaaches za katika soko. Naona wapo wapo tu hawaeleweki!!!

Somebody tell me whats their positioning in the market?

Seems like will take forever kwa wao kufanikiwa, ni sawa sawa na mtu mzima asiejua dhumuni lake la kuwepo duniani! Anakula analala na kuamka tu, hana analolifanya..yupo yupo tu!
 
Back
Top Bottom