TTCL kuwapiku mpesa au tigo pesa ni kazi rahisi sana ambayo hata mimi naiweza..
dawa ni unapandisha makodi tu kwenye transactions za simu zote, wao mpesa na tigo pesa wataongeza gharama kwa wateja wao ili wasipate hasara...
yeye ttcl anabaki na bei cheap sababu ana ruzuku..
kwa jinsi watanzania wanavyopenda bei cheap.. wote wataamia ttcl pesa

Kuipiku Tigo Pesa na Mpesa ni kazi ngumu, Airtel money wenyewe wapo wapo tu.
Ni vigumu kuwatoa Watanzania kwenye kitu walichokizoea tangu na tangu.
Wangebuni biashara nyingine na sio kila biashara inayofanywa na haya makampuni basi wote wafanye .