TTCL Won a Tender of Supplying 1.224 GB of Internet BandWidth to Rwanda for a Decade

eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
15,656
13,797
It's good for the big brother TZ to help other neighbors in technology.

New+Picture.png

TTCL's CEO Mr. Said Amir Said (left) and the Head of Information and Communication Technology department at the Rwanda Development Board (RDB) Patrick Nyirishema signing the contract.
New+Picture+%25281%2529.png

TTCL's Chief Executive Officer Mr. Said Amir Said speaking with Journalist in Rwanda after signings business Contract.
New+Picture+%25282%2529.png

TTCL's Chief Marketing and Sales Officer Mr. Ernest Nangi (Left), TTCL's Company Secretary Mrs. Gilder Kibola and Head Products Development Mr. Ernest Isaya.
New+Picture+%25283%2529.png

Source: Michuzi Blog
 
Malawi, DRC, Rwanda, Burundi, Zambia and Uganda will soon follow join the wagon...:)

Very interesting...... hawa pia tunawakaribisha kwa moyo mkunjufu..... watapata huduma bora kabisa....
 
Hapo kwenye huduma bora ndio kwenye mtihani.
Hii ni fursa nzuri saaana kwa TTCL. Wakiweza kuitumia vizuri watapata tender nyingine nyingi sana.
Umenena kweli mkulu.... wakijitahidi kuwa makini, hodari na kutoa huduma bora, basi watapata zaidi ya mara dufu...

Hivi kwanini hapa tanzania TTCLwanshindwa kutoa Real ADSL high Quality broadband service? .Miundombinu yao ya landline/Voice haitumiki .

Ni overhaul kidogo tuinatakiwa Internet ya TTCL ndiyo ingekuwa bora.waachane na mambo ya voice wajikite kwenye Data/internet. Data Itawalipa. Kwenye voice walisha pigwa bao
 
Hapo kwenye huduma bora ndio kwenye mtihani.
Hii ni fursa nzuri saaana kwa TTCL. Wakiweza kuitumia vizuri watapata tender nyingine nyingi sana.

Hao mbona hata ndege zao tumekuwa tukiwaongozea miaka nenda rudi (wanatumia rada zetu) na sijasikia ndege ya Rwanda imeanguka kwa sababu ya huduma mbaya toka kwa waongozaji wa bongo.
 
Hao mbona hata ndege zao tumekuwa tukiwaongozea miaka nenda rudi (wanatumia rada zetu) na sijasikia ndege ya Rwanda imeanguka kwa sababu ya huduma mbaya toka kwa waongozaji wa bongo.
Aiseee Ididnt know this . kwelini Tanzania ina compeettitive advatage kubwa sana kama tukiwekeza effort kwenye mambo sahihi . Hata bandari watu wa Rwanda na Burundi hawataiwi kufikiria Mombasa kama option.

Hiyo share ya cargo za Rwanda Burudni na hata Ugandainayoptamombasa itapungua sana kama Tukikomaana Kuboresha reli yetu pamoja nakuoresha mifumo ya clearing.
 
wakuu, inamaana sasa kutakuwa na ajira za ICT bwerere, ili namimi nianze kushangilia?

Ndiyo maana yake mkulu...... sasa inabidi ukae mkao wa kuweka tonge mdomoni.... nafasi za ICT zipo...
 
TTCL can't provide 1kb in bongo and they want to go to Rwanda?
Usipende kujidharau nyakati nyingine..... kama ilivyo kwa heshima...... kuwa jiheshimu utaheshimiwa..... vivyo hivyo usipojidharau huta dharauliwa..... akili yako iwe siku zote inabidi iwe chanya.... usikubali kushindwa kabla ya kuanza.....

Tz ingeshindwa 1kB bongo... isingepewa more than 1GB Rwanda.... (labda unatania) maana imepata baada ya ushindani mkubwa..... sisi tunaofuatilia mambo hata taarifa ya eval. tumeshaitia machoni....
 
eliakeem u seem well versed about this tendering process. How many bidders or nationalities took part in this?....post a link if possible.
 
eliakeem u seem well versed about this tendering process. How many bidders or nationalities took part in this?....post a link if possible.

sasa bwana motohai usiende mbali sana..... please... just give kudos to the TTCL ...... about the process.... it was the international bidding competition.....
 
sasa bwana motohai usiende mbali sana..... please... just give kudos to the TTCL ...... about the process.... it was the international bidding competition.....

salama bwana eliakeem, pongezi hii hapa; kudos to TTCL, i mean them no harm :D
 
Congrats to TTCL,this shows we can compete at the regional level,it is a matter of upping our game and that's why I have been against the prophets of doom who think we can't benefit from EAC.
If TTCL,a company that most of Tanzanians have completely written it off can win a competitive regional bid what of others like say NBC,CRDB...TBL...Tuache kujiona panzi.Bakhressa's group of companies have consistently shown the way forward that if you deliver quality products consumers will buy them regardless of country of origin.For example,despite being a Tanzanian,I will pick Blue Band over Tan Bond any day but given a Delmonte Juice(Kenya) and Azam Juice without hesitation I will pick the later due to it's quality superiority.
By the way,I've not read the whole article,is that a bandwith speed,something that I highly doubt or it is a bandwith volume and if it is volume mbona ni kidogo hivyo,just 1224GB for ten years???Or it is a case of shoddy journalism,quacks who can't report technnology news?
 
Back
Top Bottom