RUGAHIMBILA E R
Member
- Mar 5, 2009
- 95
- 34
Basi wamechelewa sana na hata walivyopunguza bado viwango vyao viko juu tu. Kwa mfano mimi nanunua 5gb ya vodacom tshs 20000 kwa mwezi mzima, na bado tu naweza kupata internet hata nikiwa vijijini tena kwa speed nzuri tu. Ni dhahiri bado wako juu, labda tu speed safi ila pia coverage yao ni ndogo sana. Tuwaombe waendelee kubadilika.