mkuu hio alama nyekundu ni ya mwezi? Inaonekana interesting
Nashawishika kutumika modem hii, japo nimeshazoea modem ya ZantelSpeed ni ileile kama mwanzo, may be kwa kuwa bado watu wengi hawajajua bei mpya
1GB kwa wiki sasa ni 6,000 badala ya 8,000.
1GB kwa mwezi sasa ni 10,000 badala ya 40,000/=
2GB kwa mwezi sasa ni 15,000 badala ya 60,000/=
4GB kwa mwezi sasa ni 25,000 badala ya 90,000/=
1GB kwa wiki sasa ni 6,000 badala ya 8,000.
1GB kwa mwezi sasa ni 10,000 badala ya 40,000/=
2GB kwa mwezi sasa ni 15,000 badala ya 60,000/=
4GB kwa mwezi sasa ni 25,000 badala ya 90,000/=
Wanazidi kunichanganya hawa, juzi nimeachana na tigo nikakamata airtel, sasa hawa naona wanataka niondokane na airtel
Mwanzoni kabla sijaona vizuri nilidhani umeserukamba hapo kwenye redwanataka wafe na ur pennies
Mwanzoni kabla sijaona vizuri nilidhani umeserukamba hapo kwenye red