tupigie kwa namba ya huduma kwa wateja tukusaidie kuliko kulalamika huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii seldom app inapatikana play store!Binafsi natumiaga application inaitwa seldom kufanya malipo takribani yote kuanzia vocha za mitandao yote ikiwemo ttcl, vingamuzi, luku, maji na vitu vingine kibao na wala sioatagi tatizo, njia nyingine ya kununua vocha kwa ttcl ni kwa M-PESA...piga *150*00#>>4>>4>>ingiza 339999>>ingiza mamba ya ttcl>>ingiza pin ya mpesa>>thibitisha..
Yote kwa yote app ya seldom ndo mpango mzima
Kumradhi....ni "selcom". Ipo playstore
Tunatafuta faida kubwa ya kuutangazia ummamimi nna hasira nao adi basi! juzi nlijiunga na bando la week 2500 wakakata hela imefika usiku nikadhani labda mtandao unasumbua maana nlikua sipati chochote, jana asubuhi nikaangalia salio wakasema sina salio nikapotezea,nikajiunga tena cha elf 2500 wamerudia tena ushenz huo huo na kila nikiwapigia no yao naambiwa iko busy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi wanavyofanya kazi inaelekea TTCL hawajabadilisha mindset za wafanyakazi yaani bado wana fikra zile za 1970 tulizokuwa tunasimama foleni ili uweze kupiga simu kwa ndugu tena tukivizia iwe usiku ili tuwapate wakiwa nyumbani...TTCL jamani badilikeni ili watu wawe wazalendo!
hawachelewi kukubadilishia namba bila wewe kujua..mfano namba yako inaishia 50 unakuta kesho inaishia 72
Sent using Jamii Forums mobile app
amin usiamin mimi namba yangu ya kila siku inaishia 50 tena bila kukosea na kile kibati cha simcard kimeandikwa namba hiyo ina ila baada ya miezi kadhaa nacheck usajil nakuta namba imechange
Huwa unakonect network ya simu na pc?mimi nna hasira nao adi basi! juzi nlijiunga na bando la week 2500 wakakata hela imefika usiku nikadhani labda mtandao unasumbua maana nlikua sipati chochote, jana asubuhi nikaangalia salio wakasema sina salio nikapotezea,nikajiunga tena cha elf 2500 wamerudia tena ushenz huo huo na kila nikiwapigia no yao naambiwa iko busy.
Sent using Jamii Forums mobile app