Zantel wako independent wala hamna falsafa za kitapeli kama hao Tigo. Ni mtandao wa mahustadhi na mahustadhat hamna upigaji huku wala hutasikia wamelipishwa fine [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Hali iko hivyo hivyo hata kwenye vifurushi, ukiambiwa 1GB basi ni halisi sio ule utapeli wa kupewa 500MB kisha unatumia ujumbe umefanikiwa kujiunga na kifurushi cha 1GB!