Thefreedom
JF-Expert Member
- Jan 27, 2019
- 319
- 316
Ndugu yao TigoNimehama halolel nw niko zantel yani mpaka najiona falaa kwann sikuhamia zantel mda wote natumia halotel
Zantel wako vzr sana kuanzia bando mpka speeed yao
Ndugu yao Tigo
Kama ni DLink zinachakachuka vizuri tu Free of costInawezekana. Sema jamaa wanadai mpk 30k maana sio za Huawei wala ZTE zile. So kupata codes ni ngumu kidogo
Airtel wako vzr aisee c bundle tyu hata dk wapo vzr. Amia airtel ndg yng@Mayu
The smartphone networkView attachment 1527972
Hata mimi nahamia halotel. Si wana 4g?
Washapunguza naona gb 5 tu sa 6 mpk 12 kwa buku jero dah vifurushi vimekuwa ghali sana aiseeNao watapunguza tu
Halotel yenyewe haeleweki sshv. Mm nimerudi TTCL. Ukijiunga kupitia TPesa kuna option ya Bando Tam Tam Plus. 1000tsh unapata 1.2GB, dkk 10 mitandao yote na sms 50 kwa siku 5. Mm nalitumia kwa siku 1 maisha yanaenda.Washapunguza naona gb 5 tu sa 6 mpk 12 kwa buku jero dah vifurushi vimekuwa ghali sana aisee
Nao pia wameondoa saiv hakipo kabisa hahahaNao watapunguza tu
Wake zenu mnawahudumia saa ngapi? Wameilalamikia Tisi ara Ei mda mrefu so mjiongeze πππLeo nimeweka vocha ya 1500 nimefanya na setup ya torrent nikitegemea kupata GB 10 za usiku nishushe series nakuta kifurushi hakipo
Voda walishakiondoa siku nyingi sijui tunahamia wapi sasa wazee wa kukesha na night bundle?
Halotel nako wananoa visu huko pelekeni hizo shingo muone πππTTCL Wamepunguza GB za kifurushi Cha mwanachuo (boom pack)! Internet yenyewe iko slow Sana sijui wanajivunia Nini. Hili bundle likiisha nitahamia halotel
Kipo kifurushi cha usiku buku 3.5 gb na mchana 500mb jumla 4gb. Nenda bandika bandua. Haya majamaa mazembe hayajui kujitangaza kabisa.Leo nimeweka vocha ya 1500 nimefanya na setup ya torrent nikitegemea kupata GB 10 za usiku nishushe series nakuta kifurushi hakipo
Voda walishakiondoa siku nyingi sijui tunahamia wapi sasa wazee wa kukesha na night bundle?
πππππhivyo vifurushi vinamfaa mtu wa huduma kwa watejaHivi navyo ni vifurushi vya mwezi dakika za mitandao yote vya halotel View attachment 1527557
Ukimaliza nacho mwezi hiko njoo nikuongeze hela ununue kingine. Namaanisha ukiunga leo tarehe 6/2/2021 kifike 6/3/2021 kabla MB hazijakata πππHivi ni vifurushi vya internet vya halotel vya mwezi, mambo ni moto sana View attachment 1527555
Hahahah wanawalia timming tu wakichafue πππ mtalia na kusaga meno maninxNahakika mwezi hauishi Halotel nao wataondoa night bundle
Hawa jamaa sijui wanaambiana nyambafu zao
Natumaini ni miongoni mwa watu ambao niliwaambia mtakuja kunishukuru πππ!Nimehama halolel nw niko zantel yani mpaka najiona falaa kwann sikuhamia zantel mda wote natumia halotel
Zantel wako vzr sana kuanzia bando mpka speeed yao
Zantel wako independent wala hamna falsafa za kitapeli kama hao Tigo. Ni mtandao wa mahustadhi na mahustadhat hamna upigaji huku wala hutasikia wamelipishwa fine πππ!!!Ndugu yao Tigo
Nenda HalotelLeo nimeweka vocha ya 1500 nimefanya na setup ya torrent nikitegemea kupata GB 10 za usiku nishushe series nakuta kifurushi hakipo
Voda walishakiondoa siku nyingi sijui tunahamia wapi sasa wazee wa kukesha na night bundle?