TTCL wameondoa kifurushi cha usiku

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,676
Reaction score
14,362
Leo nimeweka vocha ya 1500 nimefanya na setup ya torrent nikitegemea kupata GB 10 za usiku nishushe series nakuta kifurushi hakipo

Voda walishakiondoa siku nyingi sijui tunahamia wapi sasa wazee wa kukesha na night bundle?
 
Hawa jamaa aisee. Mimi nimeshaweka kapuni line yao. Halotel wana unlimited usiku for 1500
 
Hivi ni vifurushi vya halotel vya wiki dakika za mitandao yote

​
 
Hivi navyo ni vifurushi vya mwezi dakika za mitandao yote vya halotel
 
Jamani TTCL Tanzania njooni muone sisi watanzania wenyewe tunavyolia na kila siku mnatuambia turudi nyumbani kumenoga sasa kunoga gani huku!

Ndio maana watu wanakimbilia kwa wale wa Vietnam(halotel)
 
Ombi lako tumelipokea na tunalifanyia kazi.
Asante kwa kuchagua TTCL.

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…