TTCL Updates

akili akili

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
1,767
Reaction score
1,157
Mwenye updates za ile written interview tuliofanya last month atiririke jamani, naona kajua kanazidi kuzama
 
Zile ambazo mwisho wa kutuma ilikuwa tarehe 22/4 au zipi hizo?

No, zenyewe zilikuwa za mwezi wa pili, nyingi zilikuwa ni Engineering based.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hapo sawa kiongozi. Vipi zile za mwisho April 22 mkuu?
 
Hapo sawa kiongozi. Vipi zile za mwisho April 22 mkuu?

Hizo nyingine sijapata info zake bado, mi nafahamu hizo za mwanzo coz niliomba na kuitwa kwenye written interview.
 
Poa ila tuchunguzie basi kisha utujuze au hujapata ata rafiki afanyae kazi pale ulipoenda kupiga written?
 
..Wadau, nami ni mmoja wao anayesubiria hizo updates za TCCL,maana nilijutupiamo..!!
 
Ooops,,,sio zali langu, maana sijapikea simu yao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…