Mtandao wa TTCL internet umeendelea kuwa kituko kwa huduma ya unlimited internet kuwa ya ovyo, huku wakiendelea kupokea fedha za malipo za wateja cha ajabu ttcl ndio walipewa mamlaka ya kuhodhi fibre cable lakini cha ajabu wao ndio wanatoa huduma mbovu, Tena kwa gharama kubwa ukilinganisha na mitandao ya simu. Nilipata nafasi nikawa nareport kila mara wanakuambiwa tutawajulisha mafundi ila mafundi wanakuja wanakuambia hamna tatizo.
Yani hawa jamaa ni hovyo kabisa