Gomez Luna
Senior Member
- Mar 13, 2017
- 187
- 205
Aiseeee yani wamejua kunikata stim,nilikua nishandaaa list ya madude ya kuyashusha.tatzo ni mtandao bado auna nguvu ndo mana una babaisha babaisha
ha ha ha ha pole sana mkuu hamia halotel japo na wenyewe cku hzu sio wazur sana kwenye spid ya netAiseeee yani wamejua kunikata stim,nilikua nishandaaa list ya madude ya kuyashusha.
Uzuri wa TTCL ni speed mkuu.ha ha ha ha pole sana mkuu hamia halotel japo na wenyewe cku hzu sio wazur sana kwenye spid ya net
Wanajitahid kwa kweliNimeinunua line yao ila sijawahi kuitumia nasikia wana huduma ya vifurushi nzuri.
Hahahaha.... Karibu.mkuu basi namm ngoja nihamie ttcl tutavumilia hzo shda cku moja moja