TTCL mobile 4G

TTCL mobile 4G

ungechukua ya 4G, kwan haina uwezo wa kuoperate 3, h+ n.k? mbona naskia 4G ya tigo inafanya yote hayo?
ni sh ngap?
Kwa nilivyo wauliza walisema haiwezi so me nikaona ni waste of money kununua kitu ambacho sitakitumia coz at the moment sina device inayo support 4G, price ni 3k
 
Kwa nilivyo wauliza walisema haiwezi so me nikaona ni waste of money kununua kitu ambacho sitakitumia coz at the moment sina device inayo support 4G, price ni 3k
ok, vipi wana huduma ya kutuma pesa kama mitandao mingine?
 
Kwa ss hawana mkuu, ila kwa ujio wao huu mpya kuna sehemu nimesoma wanasema watakua na hiyo huduma very soon, ila itabidi waongeze coverage kwanza maana bila kuwa na coverage kubwa watakosa wateja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom