TTCL line zao kwa internet vipi?

tigo ina speed? kama inayo tafuta zantel usiku 1500 GB 8, au halotel zile GB 15 kama bado zipo.
Ndio chief TIGO wako vizuri ila vifurushi vya usiku vya bei rahisi sivijui
HALOTEL 3G iko njema sana kasi kama Voda
Ila naona kama HALOTEL hawana 4G
 
Ndio chief TIGO wako vizuri ila vifurushi vya usiku vya bei rahisi sivijui
HALOTEL 3G iko njema sana kasi kama Voda
Ila naona kama HALOTEL hawana 4G
kama modem yako ni ya H+ mtandao ukiwa na 4G au usiwe na 4G haikusaidii. utafaidika na 4G pale tu kifaa chako kikiwa 4G.

TiGo kifurushi cha usiku ni 4GB tu, ila sababu tigo na zantel wanatumia minara hio hio mahala ambapo tigo ina speed na zantel itakuwa na speed vile vile hivyo unaweza kutumia zantel sababu wao wanatoa mara mbili zaidi yaani usiku unapata 8GB.

na kama halotel wana speed kwako unga kifurushi cha usiku udownload movie na hio halotel.
 
Safi sana mzee now namiliki kitu cha Samsung note 4 so naona nikonect kwa simu nifaidi 4G
Asante chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…