TTCL kwisha habari

Gharama za services za mkongo wa taifa ni kubwa sana na wanashindwa kuhandle isee.
hawa service.provider.Wengine wanapita kwenye miundombinu hiyo hiyo ya ttcl na bado wako cheap!!
Ni hujuma za waziwazi tu
 
Kiukweli TTCL nimeikatia tamaa kwanza 1. Nikinunua vocha haiingii yote 2.Network shida 3. Customer care mbovu 4. Vifurushi ghali kuliko mitandao yote
Customer Care Zero Plus ....
 
Hivi Kuna watu Bado wanatumia ttcl kweli.......!
 
Wanufaika wa huo uwekezaji wa TTCL ni Airtel
 
Expect nothing from this mentality..........'SI MSHAHARA UNAINGIA !!!!!'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…