TTCL kwisha habari

Gharama za services za mkongo wa taifa ni kubwa sana na wanashindwa kuhandle isee.
Hujui TTCL ndiye kamilikishwa usimamizi wa Mkongo wa Taifa?

Hujui yeye ndo huuza Internet kwa haya mashirika mengine hadi Burundi hupokea Internet kutoka TTCL?
 
Mashirika ya Serikali yalipaswa kujihudumia mishahara na gharama zingine huku pia wakipeleka pesa Serikalini, iwe kama Mashirika ambayo Serikali ina Ubia mf Airtel, CRDB, NMB,
Kupitia kufanya hivyo hakika hayo mashirika lazima yangejiendesha kwa faida.

ATCL, TTCL hata zishindwe fanya biashara mwezi mzima bado mishahara inalipwa na Serikali.
 
Ttcl ni yetu wa Tanzania kwa 100% au kuna wabia?,
Kama ni ya kwetu kwa 100% taifa linashindwaje kuipendelea ili ndio iwe kimbilio la mtanzania? Kwa kila kitu kuanzia bando, talks time na mengineyo!
Inahuzunisha hadi unawaza hivi jamaa wanalipwa ili wauze mechi au wanatishwa na mamlaka ili wahakikishe timu pinzani zinashinda?
 
TTCL ilikuwa inafanha poa enzi za JK na sio Magu, klianza kupata down fall enzi.za magu

Before ttcl walikuwa na huduma nzuri mnoo ktk internet huduma ilikuwa affordable mnoo
Sasa wewe lofa Usiejielewa ttcl imefufuliwa mwaka gan
 
Wabunge wameshauri hili shirika liachane na biashara ya mtandao wa simu za mkononi wajikite kuuza data tu kwa mabenki na taasisi mbalimbali,
 
Wabunge wameshauri hili shirika liachane na biashara ya mtandao wa simu za mkononi wajikite kuuza data tu kwa mabenki na taasisi mbalimbali,
Hili siliafiki hasa kwa usalama wa taifa letu, tuingie ubia wa 50,50 na makampuni yenye uzoefu.
 
Ni kweli.

Mimi ni mteja wa TTCL, na siku tatu zilizopita mtandao wa TTCL ulikuwa haufanyi kazi vizuri. Simu ilikuwa unapokea tu, lakini kupiga huwezi. Vifurushi ilikuwa huwezi kununua. Na data ilikuwa slow sana.

TTCL hawajatoa taarifa tatizo ni nini la kutuweka wateja wao gizani kwa siku tatu mfululizo. Maana ilibidi mpaka nitafute laini mpya ya mtandao tofauti ili tu shughuli ziende.

Ila naona wamesharudi hewani sasa.

Ingekuwa enzi za Magufuli wangeshatumbuliwa watu.
 
Labda ni fair play policy wamekubaliana kwa siri na makampuni binafsi ili kutoyaangamiza hayo makampuni. Normally hizi sera za fair play policy zinakuwepo tu sehemu nyingi duniani. Hayo ni maoni yangu binafsi. Or ni kweli kuna hujuma ndani ya TTCL. Mfano huduma za fiber zilitakiwa zienee nchi nzima ila badi wanasua sua tu mara vifaa havipo.
 
TTCL inayumba kwa sababu ya uwekezaji wa kusuasua wa serikali...

Haijiendeshi yenyewe kama ilivyo kwa makampuni ya kigeni...

Bali huwa inategemea bajeti toka serikalini ili kufanya uwekezaji...
 
Aiseee!!!
 
Unanjua fisadi rostam tuulize tukuambie jamaa yupo kufisidi nchi ...yeye anadai pesa yote ya serikali ni mali yake.
 
Hili siliafiki hasa kwa usalama wa taifa letu, tuingie ubia wa 50,50 na makampuni yenye uzoefu.
Nikweli wako watz wana akili ndogo kama kuku awawezi kuona mbali ....nikama bandari kumpa mtu binafsi ni sawa sawa na kuuza usalama wa taifa
 
Hili siliafiki hasa kwa usalama wa taifa letu, tuingie ubia wa 50,50 na makampuni yenye uzoefu.
Sijakuelewa mkuu? Uzoefu wa nini? Kama ni kuuza data kwenye taasisi wamekuwa wakifanya hivyo miaka yote
 
TTCL inayumba kwa sababu ya uwekezaji wa kusuasua wa serikali...

Haijiendeshi yenyewe kama ilivyo kwa makampuni ya kigeni...

Bali huwa inategemea bajeti toka serikalini ili kufanya uwekezaji...
Siyo kweli ...kunq maelekezo ya kuhujumu shirika yanatoka serikalini
 
Nikweli wako watz wana akili ndogo kama kuku awawezi kuona mbali ....nikama bandari kumpa mtu binafsi ni sawa sawa na kuuza usalama wa taifa
Sielewi mnaandika vinini? TTCL wabaki kuuza data na simu za mezani tu,
 
Siyo kweli ...kunq maelekezo ya kuhujumu shirika yanatoka serikalini

Usiwe wapinga vitu bila kujua nyuma ya pazia, CAPEX kwenye telecom ni dynamic na inahitaji kuwekeza hasa ili uone faida na hatimaye kampuni ikue...

TTCL wana kama sites 350 hadi 400 hivi, kampuni nyinginezo kama Airtel, Voda au tiGO wenye sites 4000+, hadi hapa kwenye uwekezaji wa usimikaji wa sites TTCL kashaancha mara 10 zaidi hivi...

Biashara kubwa anayoitegemea TTCL kwa ushirikiano na NICTBB ni mkongo wa taifa wa mawasiliano...
 
Kama unachosema ni kweli basi nieleze kwanini reli ya tazara imekufa kiufanisi mizigo na bidhaa mbalimbali zinapelekwa mikoani na zambia kwanjia ya magari makubwa wakati treni ndiyo usafiri nafuu duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…