Gharama za services za mkongo wa taifa ni kubwa sana na wanashindwa kuhandle isee.Nikikumbuka jinsi serikali ya Magu walivyopambana kwa jasho na damu kuukuza huu mtandao na kuspend mabilioni ya pesa kama ruzuku ili shirika lifufuke leo hii limerudi kama zamani linajifia tu
Hivi waungwana hili shirika linahujumiwa au.....Inawezekana vp wakawa na bando ghali kuliko mitandao mingine?
Hali ni mbaya sana pia mtandao wao umeanza kupoteza signals maeneo mengi tofauti na kipindi cha magu
Nikifikiria uwekezaji mkubwa ulofanyika kwenye mawasiliano naishiwa na nguvu kabisa
Kweli pumzika kwa amani ttcl hakika unahujumiwa na walafi
Kumenoga kwa kurudi nyumaNyumbani hakukaliki?
Toka lini tukasimamia vitu vyetu kwa ufanisiTtcl ni yetu wa Tanzania kwa 100% au kuna wabia?,
Kama ni ya kwetu kwa 100% taifa linashindwaje kuipendelea ili ndio iwe kimbilio la mtanzania? Kwa kila kitu kuanzia bando, talks time na mengineyo!
Msemo wa kijinga sana.Ulitungwa kwa kutegemea uzalendo kutoka kwa vibaka.Rudi nyumbani kumenoga..!!
Shirika lipo kwenye sekta ya ushindani unaohitaji akili kubwa, bahati mbaya serikali yetu si unajua utendaji kazi wake?, Basi TTCL iwe reference kwa mashirika mengine kama ATCL.Nikikumbuka jinsi serikali ya Magu walivyopambana kwa jasho na damu kuukuza huu mtandao na kuspend mabilioni ya pesa kama ruzuku ili shirika lifufuke leo hii limerudi kama zamani linajifia tu
Hivi waungwana hili shirika linahujumiwa au.....Inawezekana vp wakawa na bando ghali kuliko mitandao mingine?
Hali ni mbaya sana pia mtandao wao umeanza kupoteza signals maeneo mengi tofauti na kipindi cha magu
Nikifikiria uwekezaji mkubwa ulofanyika kwenye mawasiliano naishiwa na nguvu kabisa
Kuna jambo nashindwa kulielewa waungwana labda mniambie hivi hawa wanashindwa vipi kukamata soko??Haki wanafeli kivipi?Wamejitahidi kufika Tz nzima kila mahali wapo, maana kila mahali ukienda inashika, hivi kwa sasahivi kulivyo na demand kubwa ya mabando hawa wakija hata na utaratibu wa kuuza bando Gb 1 hata kwa 1500 au 1000 si wabongo wote watakimbilia huko?
Kwani wanafeli wapi kuwa na mabando cheap kuliko mitandao yote kama walivyofanya kuanzia 2018, 2019 na kufanikiwa kurudi kwa kasi?
Hivi kwa mfano wakiuza gb kwa shilingi 1000 au 1500 hawa kwa sasa si watateka soko zima la mabando? sasa kwanini wanashindwa ilhali wana kila kitu?Wana kila kitu hawa nashindwa kujua kuna mdudu gani wakuu Naombeni mnieleweshe au mimi ni mjinga sina akili siwazi sawa sawa?
Mbona ni rahisi sana hawa kukamata soko kwa hali ilivyo sasa?Wanafeli wapi, kuna nini, na tatzo ninini?Hili shirika si la umma jamani?Wakuu nashindwa kulielewa hili shirika kabisa
Kweli pumzika kwa amani ttcl hakika unahujumiwa na walafi
TTCL ilikuwa inafanha poa enzi za JK na sio Magu, klianza kupata down fall enzi.za maguNikikumbuka jinsi serikali ya Magu walivyopambana kwa jasho na damu kuukuza huu mtandao na kuspend mabilioni ya pesa kama ruzuku ili shirika lifufuke leo hii limerudi kama zamani linajifia tu
Hivi waungwana hili shirika linahujumiwa au.....Inawezekana vp wakawa na bando ghali kuliko mitandao mingine?
Hali ni mbaya sana pia mtandao wao umeanza kupoteza signals maeneo mengi tofauti na kipindi cha magu
Nikifikiria uwekezaji mkubwa ulofanyika kwenye mawasiliano naishiwa na nguvu kabisa
Kuna jambo nashindwa kulielewa waungwana labda mniambie hivi hawa wanashindwa vipi kukamata soko??Haki wanafeli kivipi?Wamejitahidi kufika Tz nzima kila mahali wapo, maana kila mahali ukienda inashika, hivi kwa sasahivi kulivyo na demand kubwa ya mabando hawa wakija hata na utaratibu wa kuuza bando Gb 1 hata kwa 1500 au 1000 si wabongo wote watakimbilia huko?
Kwani wanafeli wapi kuwa na mabando cheap kuliko mitandao yote kama walivyofanya kuanzia 2018, 2019 na kufanikiwa kurudi kwa kasi?
Hivi kwa mfano wakiuza gb kwa shilingi 1000 au 1500 hawa kwa sasa si watateka soko zima la mabando? sasa kwanini wanashindwa ilhali wana kila kitu?Wana kila kitu hawa nashindwa kujua kuna mdudu gani wakuu Naombeni mnieleweshe au mimi ni mjinga sina akili siwazi sawa sawa?
Mbona ni rahisi sana hawa kukamata soko kwa hali ilivyo sasa?Wanafeli wapi, kuna nini, na tatzo ninini?Hili shirika si la umma jamani?Wakuu nashindwa kulielewa hili shirika kabisa
Kweli pumzika kwa amani ttcl hakika unahujumiwa na walafi
Kweli pumzika kwa amani ttcl hakika unahujumiwa na walafi
HIYO NI KAZI TUKUFU YA FISADI ROSTAMNikikumbuka jinsi serikali ya Magu walivyopambana kwa jasho na damu kuukuza huu mtandao na kuspend mabilioni ya pesa kama ruzuku ili shirika lifufuke leo hii limerudi kama zamani linajifia tu
Hivi waungwana hili shirika linahujumiwa au.....Inawezekana vp wakawa na bando ghali kuliko mitandao mingine?
Hali ni mbaya sana pia mtandao wao umeanza kupoteza signals maeneo mengi tofauti na kipindi cha magu
Nikifikiria uwekezaji mkubwa ulofanyika kwenye mawasiliano naishiwa na nguvu kabisa
Kuna jambo nashindwa kulielewa waungwana labda mniambie hivi hawa wanashindwa vipi kukamata soko??Haki wanafeli kivipi?Wamejitahidi kufika Tz nzima kila mahali wapo, maana kila mahali ukienda inashika, hivi kwa sasahivi kulivyo na demand kubwa ya mabando hawa wakija hata na utaratibu wa kuuza bando Gb 1 hata kwa 1500 au 1000 si wabongo wote watakimbilia huko?
Kwani wanafeli wapi kuwa na mabando cheap kuliko mitandao yote kama walivyofanya kuanzia 2018, 2019 na kufanikiwa kurudi kwa kasi?
Hivi kwa mfano wakiuza gb kwa shilingi 1000 au 1500 hawa kwa sasa si watateka soko zima la mabando? sasa kwanini wanashindwa ilhali wana kila kitu?Wana kila kitu hawa nashindwa kujua kuna mdudu gani wakuu Naombeni mnieleweshe au mimi ni mjinga sina akili siwazi sawa sawa?
Mbona ni rahisi sana hawa kukamata soko kwa hali ilivyo sasa?Wanafeli wapi, kuna nini, na tatzo ninini?Hili shirika si la umma jamani?Wakuu nashindwa kulielewa hili shirika kabisa
Kweli pumzika kwa amani ttcl hakika unahujumiwa na walafi
Kipindi cha jpm wala haikuwa na jipya ila jpm ndo mpaka laini zikamza kupatikana mtaaniTTCL ilikuwa inafanha poa enzi za JK na sio Magu, klianza kupata down fall enzi.za magu
Before ttcl walikuwa na huduma nzuri mnoo ktk internet huduma ilikuwa affordable mnoo
Mashirika mengi ya serikali hujifia pasipo sababu za maana isipokuwa uongozi mbovu na maono hafifu.Nikikumbuka jinsi serikali ya Magu walivyopambana kwa jasho na damu kuukuza huu mtandao na kuspend mabilioni ya pesa kama ruzuku ili shirika lifufuke leo hii limerudi kama zamani linajifia tu