TTCL INTRNET BOMU KABISA

nkungu mwere

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
258
Reaction score
336
Unanunua kifurushi cha internet 8gb mchana 3gb usiku 5gb,unarudi home ukijua mechi zote live utona, lkn ukishajiunga tu na internet inapotea labda uwe karibu na maeneo ya ofisi zao,mbaya zaidi mnara uko full tena imeandika H+,sasa piga huduma kwa wateja ndio utachoka kabisa,jibu ulilopewa wiki jana ndio hilo hilo umepewa juzi na utapewa leo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa huwa wana night bundle wenyewe wanaliita TOBOA unapewa 10GB kwanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi. Ila unaweza usimalize hata GB 2
 
Baada ya wateja kuongezeka internet yao imekuwa kimeo kweli kweli, nilikuwa na line ya ttcl kwa sasa ina miezi 5 sijaitumia tena.
Net inaonyesha 4G lakini ni mwendo wa kobe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri inategemea na eneo uliopo. Mimi naitumia full time na haisumbui. Internet faster mpaka sometimes kero, maana bundle linaisha mapema.

Huwa na download series na movie kwa bundle lao la 10GB usiku. Simalizi masaa mawili, nakuwa nimemaliza kudownload 10GB zote, na sometimes naongeza another 10GB kama na vitu vingi vya ku download.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya wateja kuongezeka internet yao imekuwa kimeo kweli kweli, nilikuwa na line ya ttcl kwa sasa ina miezi 5 sijaitumia tena.
Net inaonyesha 4G lakini ni mwendo wa kobe

Sent using Jamii Forums mobile app


Kitu uwa sipendi mkuu Wangu ni hawa jamaa wa mitandao kila siku kubadili manamba G,3g zinakataaga wao wanakimbila 4g....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…