ccm mtoto wao
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 562
- 483
Uko maeneo gani? TTCL for the past 2-3 weeks ndio imekuwa hivyo. Hauwezi kufanya kitu chochote, mimi modem haina connection muda karibia wote, ikiunganisha baada ya muda inakata network mpaka uanzishe upya mara kwa mara etc. Kuna shida kwenye mtandao wao nadhani.Wadau natumia Samsung tab 3. Nashusha muvi kutumia hiyo simu ila kinachonikera natakiwa kukesha usiku maana kila baada ya lisaa limoja yaani dk 60 net inajizima. Haiendelei hadi ni restart simu ndio interneti inawaka tena naombeni maujanja niache kukeshe tatizo ni nini?
Yani kukusaidia sio lazima uzime uwashe unabonyeza airplane mode na kuweka off airplane mode inakuwa Ni sawa na kuzima na kuwasha.Wadau natumia Samsung tab 3. Nashusha muvi kutumia hiyo simu ila kinachonikera natakiwa kukesha usiku maana kila baada ya lisaa limoja yaani dk 60 net inajizima. Haiendelei hadi ni restart simu ndio interneti inawaka tena naombeni maujanja niache kukeshe tatizo ni nini?
Wadau natumia Samsung tab 3. Nashusha muvi kutumia hiyo simu ila kinachonikera natakiwa kukesha usiku maana kila baada ya lisaa limoja yaani dk 60 net inajizima. Haiendelei hadi ni restart simu ndio interneti inawaka tena naombeni maujanja niache kukeshe tatizo ni nini?
Ndio mkuu, TTCL inaroam Tigo, Kama upo eneo lenye Tigo Basi utapata internet vizuri tu. Hizo Hotspot pia Zina data roam.kwangu natumia data roaming nipo njia panda hivi nikinunua wifi-hotspot kuna zenye uwepo wa data roaming?
c.c Chief-Mkwawa
Ndio zinazo mi natumia hapa nimeweka laini iyo iyo ya Ttclkwangu natumia data roaming nipo njia panda hivi nikinunua wifi-hotspot kuna zenye uwepo wa data roaming?
c.c Chief-Mkwawa
Ni zantel hio router?Ndio zinazo mi natumia hapa nimeweka laini iyo iyo ya TtclView attachment 1191277View attachment 1191278View attachment 1191279
Hapana huawei mkuuNi zantel hio router?
Nilinunua tigoNi zantel hio router?
Seems wanatumia model moja, uli unlock vipi?Nilinunua tigo
Mi sikuwai unlock,labda waliunclock wenyewe maana nilijaribu kuweka laini tofauti na tigo nikaona inapiga mzigo kama kawaidaSeems wanatumia model moja, uli unlock vipi?
Bei gani ulinunua?Hapana huawei mkuuView attachment 1191285
Elfu 90Bei gani ulinunua?
Masaa mangapi ya kazi?Elfu 90