Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 727
- 1,846
Aisee zimefika nyumbani kwangu, ila Kabla sijalipia nataka kupata kwanza feedback kutoka kwenu wadau, ziko vizur hizi router za TTCL??
Hata kifurushi cha 55k kipo fresh??Bila shaka ni fiber --- mzigo vyema sana
Basic iyo, 20MBps inakutosha kabisa.Hata kifurushi cha 55k kipo fresh??
Naam, inatosha sana ,Hata kifurushi cha 55k kipo fresh??
Nadhani itatosha, Ofisini nina wifi ya kutosha, nataka nilipie tu hii kwa ajili familia.Naam, inatosha sana ,
Japo inategemea na aina ya matumizi ya mtu maana speed ni 20mbps
Sawa mkuuBasic iyo, 20MBps inakutosha kabisa.
Maeneo gani unaishi boss?Aisee zimefika nyumbani kwangu, ila Kabla sijalipia nataka kupata kwanza feedback kutoka kwenu wadau, ziko vizur hizi router za TTCL??
TemboniMaeneo gani unaishi boss?
Kumbe imefika temboni mbezi mwisho bado?Temboni
hapo bila wasiwasi mkuuNadhani itatosha, Ofisini nina wifi ya kutosha, nataka nilipie tu hii kwa ajili familia.
Kwa mwezi bei gani unalipiaAisee zimefika nyumbani kwangu, ila Kabla sijalipia nataka kupata kwanza feedback kutoka kwenu wadau, ziko vizur hizi router za TTCL??
Utasota hata miaka miwili hapo ili uweze kuipataLipia haraka.. hapa nyumbani nawasubiri tangu mwaka jana hawajaja
Jamaa wasumbufu sana waleUtasota hata miaka miwili hapo ili uweze kuipata
Wajinga sana aiseee ile fiber wangepiga pesa nyingi sana mtaani watu hata wasingewaza kununua router za airtelJamaa wasumbufu sana wale
Tatizo ni shirika la serikali hakuna anayejali.. Kasi yao ya fiber Ipo vizuri sana bei pia wapo vizuriWajinga sana aiseee ile fiber wangepiga pesa nyingi sana mtaani watu hata wasingewaza kununua router za airtel
Nadhani mbezi badoKumbe imefika temboni mbezi mwisho bado?